Mbona siku hizi siwasikii mmesiz kweli

senzoside

Senior Member
Mar 13, 2012
183
31
Wiki zilizopita iliibuka mijadala mingi ooooh ajira za waalimu zimesitishwa, ooooh walimu wa arts hawataajiriwa, oooh ajira za waalimu ni mpaka mwaka mpya wa fedha, oooh serikali haina fedha kuajiri walimu wapya hela yote imeenda kwenye bunge la katiba. Mbona siku hizi siwasikii au wanaowatuma wamekataa kuwafadhili ili nn au kulikoni jamani
 
Inawezekana pesa kwenda kwenye bunge la katiba maana wameskip mwezi mzima.

Idadi ya wajumbe ni ndogo sana ukilinganisha na idadi ya walim watakao ajiriwa=posho.

Kwa hiyo ukiruka mwezi mmoja imetosha kuwalipa hao wajumbe.
 
inawezekana pesa kwenda kwenye bunge la katiba maana wameskip mwezi mzima.

Idadi ya wajumbe ni ndogo sana ukilinganisha na idadi ya walim watakao ajiriwa=posho.

Kwa hiyo ukiruka mwezi mmoja imetosha kuwalipa hao wajumbe.

labda ila bunge lenyewe halieleweki
 
Back
Top Bottom