Walimu jifunzeni kuridhika kazi ya Serikali ni kukupa elimu sio ajira

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,305
29,828
Sina nia mbaya, lengo nikutoa mitazamo hasi ya hawa waliosomea ualimu wakidhani kuwa jukumu la serikali ni kumuajiri, japo serikali yetu nidhaifu ila kwa hili siwalaumu.

Ebu twende sawa apa : Moja ya kada inayodekezwa na inapendelewa sana ni hii ya ualimu, serikali inajitahidi sana kutoa lawama zahawa watu lakini watu hawa bado wanalaumu tu, iko hivi kipindi unaingia chuo ulizisoma objectives za teacher education objectives zote hakuna sehemu imeandikwa utaajiriwa, Bali lengo kuu ni kupata knowledge, skills na kuweza kuapply in real life sio kuajiliwa na serikali bali ni juhudi zako kuconvert theory iwe practical.

Jambo moja lililonichekesha ni hizi ajira za ualimu ambapo tamisemi jana walitoa majina. Ziliibuka hoja za ajabu sana mpaka unawaza ivi huyu yupo timamu, yani mtu baada ya kukosa unakuja kwenye jukwaa unatoa makamasi eti unalaamu mtu aliemaliza 2020 kupata ajira wewe unaachwa wa 2015.

Hii hoja ni weak haina mashiko yani ulitaka serikali imalize kuajiri wote wa 2015 kama wapo elfu 20 na kila mwaka wakatangaza ajira 6000 ichukue miaka 3 kuwamaliza wote, halafu waje wa 2016 nao watachukua miaka 3 kuwaajiri kwa awamu mpaka waishe, waje wa 2017 nao miaka 3 mbele waishe, waje 2018 nakadhalika.

Huku hawa wote wawekwe pending after 20 years hiyo ni akili matope, yani na BAED yako tuwasubiri serikali iwaajili wote halafu mtu wa physics aliemaliza 2020 ambae ni potential mashuleni awekwe pending?, ili kwakweli hapana.

Vijana wenzangu tujifunze uvumilivu halafu mbona ukijiajiri maisha yanaenda vizuri tu. Nenda mtoni huko au kwenye mabwawa kavue kambale, kambale mmoja uza kwa buku mbili kwa siku ukivua kambale 50 una laki yako mfukoni. Ingia mashambani kanunue mkaa, gunia linauzwa buku teni ukiuza mjini ni 70000, ukiuza magunia mawili kwa siku una faida ya laki na ishirini.

Sasa wewe unalia mda wote mara oooh najinyonga, mara nikiomba ualimu tena niiteni mbwa, mara serikali iliweka nafasi hewa nakati majina yanaonekana yapo 9800, mara oooh connection, mara oooh mbona wa art hamtuajiri, aliyekwambia ni lazima ikuajiri Nani?

USHAURI wa mwisho huu sitashauri tena, ukiona ualimu ngoma nzito badili Gia angani. Mnaacha kozi ambazo ni marketable kama afya, wanaomba mpaka baadhi ya nafasi zinabaki wazi tamisemi imetangaza tena kwa mara ya pili, yani hadi raha.

Nahata wakikosa sijaona mtu wa afya akilalama kukosa ajira kwa sababu yupo smart kichwani anajua kuajiriwa ni previlage sio haki. Mimi yangu ni hayo, vijana wenzangu tujifunze kuwa creative tuna kila resources kwenye nchi yetu hii ya Tanzania .
images%20(89).jpg
 
Mwalimu anahitaji hela ya kujikimu maisha yake kulingana na maisha ya sasa. Hata Padri na Sheikh wanakula asali na maziwa. Unajua ualimu kwangu ni unabii sema hamuwaheshimu walimu, kwani hata Yesu alikuwa mwalimu. Unafikiri kwa nini aliamua kuwa mwalimu?. .

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mwalimu nae ana watoto anahitaji waende shule, analipa kodi kuchangia pato la taifa, anaishi kama wewe na mimi, nafasi zao katika jamii zieshimiwe. Watu wakiamua wakimbie ualimu wafanye shughuli nyingine ingekuwaje? Tunahitaji walimu kushinda hata wanasiasa. .

Mtazamo wangu tu. .
 
Ndio tulipofikia huku
Changamoto hazikwepeki kirahisi baadaye msije kusema serikali kazi yake kujenga madarasa walimu vitabu wanafunzi watafute wenyewe
 
HUWA HUNA MADA NYINGINE ZAIDI YA KUZUNGUMZIA WALIMU.

JANA ULIANDIKA UZI WA WALIMU UKASEMWA NA WOTE TUKAKUONA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI UMEISHIA PALE.

LEO UMEKUJA NA MADA YA WALIMU.

ANZA ZIARA MASHULENI WANAKOPATIKANA KWA WINGI ILI UJUMBE WAKO UUFIKISHE VYEMA MKUU.
 
20220627_205859.jpg

Ile Siku Mama Anasema Sasa
"Lile Jambo Letu Lipo "
 
Attachments

  • 20220627_205927.jpg
    20220627_205927.jpg
    479.8 KB · Views: 11
Mkuu uliwahi kubakwa na mwalimu?
Kwa hizi mada zako utapuuzwa sana, ona hata huu uzi umekosa wadau.
 
Sina shida ya wachangiaji kwa sababu hainipi faida yoyote ila ninachojua ktk kuslide lazima Mada hii wameona na walimu wasioridhika imewachoma
 
Sina nia mbaya, lengo nikutoa mitazamo hasi ya hawa waliosomea ualimu wakidhani kuwa jukumu la serikali ni kumuajiri, japo serikali yetu nidhaifu ila kwa hili siwalaumu.

Ebu twende sawa apa : Moja ya kada inayodekezwa na inapendelewa sana ni hii ya ualimu, serikali inajitahidi sana kutoa lawama zahawa watu lakini watu hawa bado wanalaumu tu, iko hivi kipindi unaingia chuo ulizisoma objectives za teacher education objectives zote hakuna sehemu imeandikwa utaajiriwa, Bali lengo kuu ni kupata knowledge, skills na kuweza kuapply in real life sio kuajiliwa na serikali bali ni juhudi zako kuconvert theory iwe practical.

Jambo moja lililonichekesha ni hizi ajira za ualimu ambapo tamisemi jana walitoa majina. Ziliibuka hoja za ajabu sana mpaka unawaza ivi huyu yupo timamu, yani mtu baada ya kukosa unakuja kwenye jukwaa unatoa makamasi eti unalaamu mtu aliemaliza 2020 kupata ajira wewe unaachwa wa 2015.

Hii hoja ni weak haina mashiko yani ulitaka serikali imalize kuajiri wote wa 2015 kama wapo elfu 20 na kila mwaka wakatangaza ajira 6000 ichukue miaka 3 kuwamaliza wote, halafu waje wa 2016 nao watachukua miaka 3 kuwaajiri kwa awamu mpaka waishe, waje wa 2017 nao miaka 3 mbele waishe, waje 2018 nakadhalika.

Huku hawa wote wawekwe pending after 20 years hiyo ni akili matope, yani na BAED yako tuwasubiri serikali iwaajili wote halafu mtu wa physics aliemaliza 2020 ambae ni potential mashuleni awekwe pending?, ili kwakweli hapana.

Vijana wenzangu tujifunze uvumilivu halafu mbona ukijiajiri maisha yanaenda vizuri tu. Nenda mtoni huko au kwenye mabwawa kavue kambale, kambale mmoja uza kwa buku mbili kwa siku ukivua kambale 50 una laki yako mfukoni. Ingia mashambani kanunue mkaa, gunia linauzwa buku teni ukiuza mjini ni 70000, ukiuza magunia mawili kwa siku una faida ya laki na ishirini.

Sasa wewe unalia mda wote mara oooh najinyonga, mara nikiomba ualimu tena niiteni mbwa, mara serikali iliweka nafasi hewa nakati majina yanaonekana yapo 9800, mara oooh connection, mara oooh mbona wa art hamtuajiri, aliyekwambia ni lazima ikuajiri Nani?

USHAURI wa mwisho huu sitashauri tena, ukiona ualimu ngoma nzito badili Gia angani. Mnaacha kozi ambazo ni marketable kama afya, wanaomba mpaka baadhi ya nafasi zinabaki wazi tamisemi imetangaza tena kwa mara ya pili, yani hadi raha.

Nahata wakikosa sijaona mtu wa afya akilalama kukosa ajira kwa sababu yupo smart kichwani anajua kuajiriwa ni previlage sio haki. Mimi yangu ni hayo, vijana wenzangu tujifunze kuwa creative tuna kila resources kwenye nchi yetu hii ya Tanzania .

Sina nia mbaya, lengo nikutoa mitazamo hasi ya hawa waliosomea ualimu wakidhani kuwa jukumu la serikali ni kumuajiri, japo serikali yetu nidhaifu ila kwa hili siwalaumu.

Ebu twende sawa apa : Moja ya kada inayodekezwa na inapendelewa sana ni hii ya ualimu, serikali inajitahidi sana kutoa lawama zahawa watu lakini watu hawa bado wanalaumu tu, iko hivi kipindi unaingia chuo ulizisoma objectives za teacher education objectives zote hakuna sehemu imeandikwa utaajiriwa, Bali lengo kuu ni kupata knowledge, skills na kuweza kuapply in real life sio kuajiliwa na serikali bali ni juhudi zako kuconvert theory iwe practical.

Jambo moja lililonichekesha ni hizi ajira za ualimu ambapo tamisemi jana walitoa majina. Ziliibuka hoja za ajabu sana mpaka unawaza ivi huyu yupo timamu, yani mtu baada ya kukosa unakuja kwenye jukwaa unatoa makamasi eti unalaamu mtu aliemaliza 2020 kupata ajira wewe unaachwa wa 2015.

Hii hoja ni weak haina mashiko yani ulitaka serikali imalize kuajiri wote wa 2015 kama wapo elfu 20 na kila mwaka wakatangaza ajira 6000 ichukue miaka 3 kuwamaliza wote, halafu waje wa 2016 nao watachukua miaka 3 kuwaajiri kwa awamu mpaka waishe, waje wa 2017 nao miaka 3 mbele waishe, waje 2018 nakadhalika.

Huku hawa wote wawekwe pending after 20 years hiyo ni akili matope, yani na BAED yako tuwasubiri serikali iwaajili wote halafu mtu wa physics aliemaliza 2020 ambae ni potential mashuleni awekwe pending?, ili kwakweli hapana.

Vijana wenzangu tujifunze uvumilivu halafu mbona ukijiajiri maisha yanaenda vizuri tu. Nenda mtoni huko au kwenye mabwawa kavue kambale, kambale mmoja uza kwa buku mbili kwa siku ukivua kambale 50 una laki yako mfukoni. Ingia mashambani kanunue mkaa, gunia linauzwa buku teni ukiuza mjini ni 70000, ukiuza magunia mawili kwa siku una faida ya laki na ishirini.

Sasa wewe unalia mda wote mara oooh najinyonga, mara nikiomba ualimu tena niiteni mbwa, mara serikali iliweka nafasi hewa nakati majina yanaonekana yapo 9800, mara oooh connection, mara oooh mbona wa art hamtuajiri, aliyekwambia ni lazima ikuajiri Nani?

USHAURI wa mwisho huu sitashauri tena, ukiona ualimu ngoma nzito badili Gia angani. Mnaacha kozi ambazo ni marketable kama afya, wanaomba mpaka baadhi ya nafasi zinabaki wazi tamisemi imetangaza tena kwa mara ya pili, yani hadi raha.

Nahata wakikosa sijaona mtu wa afya akilalama kukosa ajira kwa sababu yupo smart kichwani anajua kuajiriwa ni previlage sio haki. Mimi yangu ni hayo, vijana wenzangu tujifunze kuwa creative tuna kila resources kwenye nchi yetu hii ya Tanzania .
View attachment 2274776
Teacher vipi? Mbona bakora Tena🤔
 
Mimi sio teacher tafadhari sana, ila hiyo fimbo ndoinadhihirisha akili zao zilipoishia, hawajui kusolve disputes diplomatically wao nikutumia violance tu
Wanasema utamu wangoma ingia uicheze,acha teacher ashushe mboko,kulijenga taifa lako na kesho yake🚶
 
Back
Top Bottom