Mbona siaminiki kwake?

Mbona siaminiki kwake?

opaque01

Member
Joined
Dec 4, 2014
Posts
10
Reaction score
2
Habar zenu, kwa mara ya kwanza napost Jamii forums.

Kuna hili jambo mwenzenu laniumiza kichwa. Mpenzi wangu haniamini tena kama zamani kwa chochote kile na yote ni kwasababu niliwahi kumcheat.

Lakini alinisamehe na tukaendelea vizuri lakini tatzo sikuhizi haniamini kama zamani ananitilia mashaka kila nalosema na kila ninalolifanya.

What should i do to win his trust?
 
Ukishaharibu kuaminiwa ni kaaaazi

Accept tu hiyo hali in time atakuamini tena ila sio leo wala kesho
 
posbly lazma imchukue mda kukuamin tena. Nadhan alikuwa anakuamini sana sana awali so ulivyomcheat alipoteza iman kwa hali ya juu maana hakutegemea. Kaa nae taratibu kuwa mwaminifu as time goes on atakuamin tena tu. Nenda polepole
 
Mpenzi wangu haniamini tena kama zaman kwa chochote kile na yote ni kwasababu niliwahi kumcheat huko nyuma, lakn alinisamehe na tukaendelea vizuri
[/QUOTE]
kwenye red ndo tabia yako
kwenye blu, amekuvumilia sana, alitakiwa akuache
 
Habar zenu, kwa mara ya kwanza napost jf.
Kuna hili jambo mwenzenu laniumiza kichwa. Mpenzi wangu haniamini tena kama zaman kwa chochote kile na yote ni kwasababu niliwahi kumcheat huko nyuma, lakn alinisamehe na tukaendelea vizuri lakn tatzo ckuhz haniamin kama zaman ananitilia mashaka kila nalosema na kila nalifanya.
What should i do to win his trust?

"Niliwahi kumcheat(ya kale hayanuki)", alinisamehe(alishafuta hilo kosa usirudie kosa), UNACHOSEMA....NI WASIWASI WAKO TUUU! Cha kufanya kuwin her trust....TRUST YOURSELF and you will gain trust. Usiishi kwa hofu kwa kua jana ulibainika ulipoharibu, basi kila ulifanyalo unahisi yule alokubaini jana yuko nyuma yako anakufuatilia. Mashaka dizaini hii ndo yanakunyima imani daima dawamu coz wew mwenyew hujiamini....sasa akuamini nani??? Ulishaomba msamaha, ulishasamehewa, onesha mabadiliko sasa kwamba umekuwa mpya....JIAMINI NA UAMINIWE.
 
sasa akuamini kwa kipi???moyo wa mtu ni msitu...usidhan kukusamehe na kucheka na wewe basi moyoni yuko vizuri hata mie simshauri akuamini make ni upoyoyo mamaeeee
 
Habar zenu, kwa mara ya kwanza napost jf.
Kuna hili jambo mwenzenu laniumiza kichwa. Mpenzi wangu haniamini tena kama zaman kwa chochote kile na yote ni kwasababu niliwahi kumcheat huko nyuma, lakn alinisamehe na tukaendelea vizuri lakn tatzo ckuhz haniamin kama zaman ananitilia mashaka kila nalosema na kila nalifanya.
What should i do to win his trust?

Kabla sijachangia nataka kujua, UMEFANYWA au UMEFANYA?
 
You should not find a way to win his trust,trust is not something to win but Its something to be created
 
rudi fanaya yote kama ulivyokuwa unafanya mwanzo
 
Kabla sijachangia nataka kujua, UMEFANYWA au UMEFANYA?
Nimefanya
 
Habar zenu, kwa mara ya kwanza napost jf.
Kuna hili jambo mwenzenu laniumiza kichwa. Mpenzi wangu haniamini tena kama zaman kwa chochote kile na yote ni kwasababu niliwahi kumcheat huko nyuma, lakn alinisamehe na tukaendelea vizuri lakn tatzo ckuhz haniamin kama zaman ananitilia mashaka kila nalosema na kila nalifanya.
What should i do to win his trust?

You must be a chronic thief man!
 
Actually cjawahi kumcheat tena nliamua kubadilika kabisa still kuniamin ndo tatzo
 
Sasa kinachokushangaza ni nini?

Hivi wewe mtu akikuibia leo, kesho utamwamini kumpa hela tena?

It's natural, wala usishangae ndio cost za usaliti
 
ktk vitu ambavyo nashindwa kuviamini ni msamaha sijui kwanin..
 
Pale uaminifu unapotoweka ni vigumu kuurudisha kama mwanzo. Inabidi ukubali matokea tu.
 
Anakuamini sana ila wewe hujiamini na pia umesamehewa ila wewe hujaacha hiyo tabia mbaya
 
kama wewe ni "me" huyo mwanamke kakusamehe kweli.

ila kama ni "ke" hapo sina hakika kama kakusamehe, wanaume wanakitu kuweka rohoni, ukitaka kujua fanya hata kosa dogo sanaaaaa utasikia "ndio maana ulinifanyia hivi...., blah! blah! blahh! blah". Yaani uwe mwangalifu sana maana naona dalili za kumwagwa wakati wowote, Katika hii dunia mkosee makosa yoteee mwanaume atakusamehe na atasahau, ila kumcheat hata akikusamehe hasahau kamweeee!!!!!. hapo kuwa mpole tuuu, jitahidi kumuonyesha kuwa unampenda yale yaliyotokea uliteleza tu.
 
Back
Top Bottom