Mbona siaminiki kwake?

Mbona siaminiki kwake?

kama wewe ni "me" huyo mwanamke kakusamehe kweli.

ila kama ni "ke" hapo sina hakika kama kakusamehe, wanaume wanakitu kuweka rohoni, ukitaka kujua fanya hata kosa dogo sanaaaaa utasikia "ndio maana ulinifanyia hivi...., blah! blah! blahh! blah". Yaani uwe mwangalifu sana maana naona dalili za kumwagwa wakati wowote, Katika hii dunia mkosee makosa yoteee mwanaume atakusamehe na atasahau, ila kumcheat hata akikusamehe hasahau kamweeee!!!!!. hapo kuwa mpole tuuu, jitahidi kumuonyesha kuwa unampenda yale yaliyotokea uliteleza tu.

hujaelewa huyo mtu ni jinsi ipi? rudi page namba moja uone swali la tee bag zen angalia jibu alilopewa ndio utajua kama ni ke au me
 
Habar zenu, kwa mara ya kwanza napost Jamii forums.

Kuna hili jambo mwenzenu laniumiza kichwa. Mpenzi wangu haniamini tena kama zamani kwa chochote kile na yote ni kwasababu niliwahi kumcheat.

Lakini alinisamehe na tukaendelea vizuri lakini tatzo sikuhizi haniamini kama zamani ananitilia mashaka kila nalosema na kila ninalolifanya.

What should i do to win his trust?

Just be faithfull!Hakikisha unakuwa hucheat tena hata kama huaminiki, matendo yanaongea zaidi ya maneno!Usilazimishe mtu akuamini ilhali wewe mwenyewe ndio uliondoa uaminifu wake kwako!Pay the price untill it is accepted!
 
Mi ni "ke" wandugu.....then ni mara nyingi nkimkosea kwa makosa mengine lazma akumbushie na hilo....kazi ninayo. Lakn i hope mambo yataenda vzr tu.
 
Mi ni "ke" wandugu.....then ni mara nyingi nkimkosea kwa makosa mengine lazma akumbushie na hilo....kazi ninayo. Lakn i hope mambo yataenda vzr tu.

Ndio ilivyo, hata ukae nae miaka 60 ukifanya kosa tu unalo, wewe vumilia tu hamna jinsi hapo.
 
Mi nakushauri ujaribu kufanya vitu vidogovidogo vitakavyomfanya asahau, ikiwemo surprise kama kumnunulia vitu vidogovidogo, kumjali akipata tatzo kama akiumwa, kuwasiliana Naye Mara Kwa Mara na kujitahidi kukutana naye pia
 
Mi mpenzi wangu."mwanamke wangu"alini cheat kweli mpaka sasa sijasahau nanikitu kinacho niuma zaidi nilimsamehe ila majuzi hapa nimekuta chatting na mwanaume cheat nae,still nimempa nafasi buti told her wait for my turn, sikusema zaidi ya help
 
pema ukijapo pema, ukipema c pema tena. Ila cha mcngi don giv up km unampenda, pata muda mzur wa kuongea nae kuonyesha bdo unamhitaj
 
Back
Top Bottom