Nyavinene
Senior Member
- Jul 28, 2020
- 164
- 173
Habari wadau!
Ni zaidi ya wiki moja sasa nipo Tanzania. Nilipitia huku mpaka wa Sirari kutokea Kenya nikaka mkoa wa Mara Kama siku 3. Kisha nikaenda Mwanza kwa siku 2. Ila saivi nipo Tabora kikazi ila cha kushangaza kila nikienda madukani kwa ajili ya kununua mahitaji Kama vile chakula na vingine huwa inatokea shida ya cheji kwa pesa hizi ambazo tumezizoea.
Kwa hii bila shaka napata majibu Kama haya: nchi ipo ktk hali mbaya ya uchumi, thamani ya sarafu yetu itashuka hivi Karibuni, na hakuna mzunguko wa pesa mtaani.
Naomba kuwasilisha ila Kama una mayai ya bundi bado niendelea kununua na saivi nipo Tanzania