Nyumba za kupanga mnatumia units ngapi? Hali ipoje kwako?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Leo tuzungumze maisha katika nyumba za kupanga kwako hali ipoje na matumizi ya umeme?

Mpo wapangaji wangap?

Mita ya kushea mnatoa na kununua umeme wa shs ngap kwa mwezi

Ukaaji wa umeme je?

Tupeane uzoefu kidogo

Sisi nilipopanga tupo 7

Wanne wanakaa nyumba ya mwanzo ambapo ni vyumba vya ndani

Sisi watatu tunakaa nyumba zinazofuatia umbali kidogo sisi sio vyumba vya ndani ni nyumba tatu, moja ipo na room moja master imejitenga, nyingine ya master imeunganika na nyingine kama nyumba kabisa ya vyumba viwili hapa ni raha maana kila mtu na maisha yake, kila mtu ana upande wake wa kuanikia nguo, kufua yaani kijieneo cha nje kila mtu ana chake so hakuna interaction kwa sisi watatu wale wanne mule ndo wana interaction maana wao ni vyumba vya ndani

Kuhusu umeme tunashea, japo sisi watatu humu itafika wakati tutakua na umeme wa peke yetu

Umeme hapa tunanunua wa elfu kumi kwa mwezi kila mtu anatoa tunanunua kwa pamoja watu 7 units 196 ila hukaa siku 20, 22 au 25 ukikaa sana ni siku 26

Hapa hakuna usumbufu wa umeme sana, kulala gizani ni nadra sana kwa sasa japo before ilikua inatokea unaisha unakuta unaisha haraka watu wanaanza kunung'unika itapita hiyo siku 2nd day watanunua tu....

Nyumba za kupanga mnatumiaga units ngapi? Hali ipoje kwako mwanajf mwenzangu?
 
Mi hiyo zamani kidogo kama 2018-19 nilikaa ghetto self ila tukawa tunashare umeme na maza mmoja yeye ana familia ya watu wanne (yeye, mwanae miaka 3-4, mumewe na housegirl). Ila mume wake ni mtu wa maroli leo yupo mwezi hayupo.

Ghetto mi nina pasi, tv, PS, chaja ya simu, PC, jagi la maji na taa mbili. Yeye sijui. Meter ipo sebuleni kwao.

Kila mwezi 25,000/= kila mmoja. Mi fala nampa tu ananunua anaweka. Sijawahi ona ata risiti. Fala sana yule maza. Saaana.

Nimehama. Sahivi umeme wa 10 unakata miezi 2. Mfano hapa napumulia umeme wa buku 2 nilionunua kama wiki 2 ziliopita.
 
Umeme wa 10,000 yaani unit 28.1 unakaa nazo miezi miwili?
 
Haha mitaa yako mwenyewe au
Mi hiyo zamani kidogo kama 2018-19 nilikaa ghetto self ila tukawa tunashare umeme na maza mmoja yeye ana familia ya watu wanne (yeye, mwanae miaka 3-4, mumewe na housegirl). Ila mume wake ni mtu wa maroli leo yupo mwezi hayupo.

Ghetto mi nina pasi, tv, PS, chaja ya simu, PC, jagi la maji na taa mbili. Yeye sijui. Meter ipo sebuleni kwao.

Kila mwezi 25,000/= kila mmoja. Mi fala nampa tu ananunua anaweka. Sijawahi ona ata risiti. Fala sana yule maza. Saaana.

Nimehama. Sahivi umeme wa 10 unakata miezi 2. Mfano hapa napumulia umeme wa buku 2 nilionunua kama wiki 2 ziliopita.
 
Kuna watu siyo waminifu na wanawafanya wengine kitega uchumi. Kuna mmoja hapa, dawa yake ipo jikoni

Back
Top Bottom