Flossin man...flossin manSome people man....!!!
Some people man....!!!
anamaanisha " watu wengine bwana!!!"sijakuelewa?
Dah..nimegunduwa ki2 kimoja humu ndani watu awako real wapo fake sana!!mimi nimeamuwa kuweka info zangu full kbsa,sitaki kuwa fake coz JF nimevutiwa nayo napia naipenda mimi ni new member sina hata mwezi ila nimependa maisha ya humu ndn maana nikahamuwa kuweka hata picha yangu mnione au sio..naomba muige MFANO wangu nawapenda sana marafiki zangu 1lov wana
Kwahiyo ukiweka wewe basi uliowakuta wafuate mkumbo?
sijakuelewa?