Mbona Mwarabu amemdharau sana mwanamke kiasi hiki? Tatizo ni nini?

Wanawake sijui walikwama wapi kwa kweli.
Nyakati za Yesu hata kwenye sensa wanawake hawakuwa wanahesabiwa Kama watu.
Hata Marekani hajapita hata karne moja tangu waruhusiwe kupiga kura.
Kilichowaponza wanawake cha kwanza kabisa ni maumbile yao particulary ile hali ya ku bleed,secondly ni yale yanayoendelea faragha kati ya mwanamke na mwanaume,Mara kuinamishwa,Mara kuingiziwa vidole etc. Kuna vitu vingi Sana vimemdhalilisha mwanamke tangu kuumba kwa dunia....ambavyo vimerithiwa na vizazi na vizazi. SAMAHANI KWA MANENO MAKALI YENYE UKWELI
 
Hadi wamasai nao wanawafanyia hivyo wamawake zao?
 
angalau kidogo ukristo, lakini kule kwingine wamezidi sana
Kama Ni mkristo wa Kweli na unasoma Biblia basi utaona kuwa wanawake wamedharauliwa kwenye Biblia kuliko Quran

Mfano katika Biblia Ni dhambi kumuoa mwanamke aliachika, wakati Uislam ni haki kwa mwanamke kuomba talaka na sio dhambi kama ataolewa tena
 
Wenyewe wanasema the only thing mwanamke anaweza provide in relationship is Sex
Sure! Na wanaamini anatakiwa achungwe kwa ukaribu ukilemaa analiwa faster tuu,ndo maana ni marufuku kwenda sokoni kila kitu kimkute ndani. HIVI MCHUNGAJI WA KIKE ANAWEZAJE KUINGIA KWENYE MAJI KUMBATIZA MTU KWA WALE WANAOAMINI UBATIZO WA MAJI MENGI WAKATI HUO AKIWA ANA BLEED.
 
Kama Ni mkristo wa Kweli na unasoma Biblia basi utaona kuwa wanawake wamedharauliwa kwenye Biblia kuliko Quran

Mfano katika Biblia Ni dhambi kumuoa mwanamke aliachika, wakati Uislam ni haki kwa mwanamke kuomba talaka na sio dhambi kama ataolewa tena
kwani wewe unataka kuoa mwanamke aliyeolewa? Wamevuruga wenzako nawe uende pale? Hata kwa mwanamume, si vema mwanamke kuolewa na mwanamume aliyeachika...
 
Biblia inasema Kuwa mwanamke alueolewa akaachika Ni dhambi kuolewa Tena,ni dhambi kufanya nae tendo la ndoa..habari ndio hiyo utake usitake..

Biblia haikusema Kuwa mwanamme alieowa akaacha haruhusiwi kuowa tena..
 
Kama Ni mkristo wa Kweli na unasoma Biblia basi utaona kuwa wanawake wamedharauliwa kwenye Biblia kuliko Quran

Mfano katika Biblia Ni dhambi kumuoa mwanamke aliachika, wakati Uislam ni haki kwa mwanamke kuomba talaka na sio dhambi kama ataolewa tena
Nimejiuliza tu mwenyewe hivi kwa nini mfano umfumanie mwanamke(mke)chumbani anabanjuana na house boy au mdogo wako au rafk yako,ni rahisi zaidi kuachana na huyo mwanamke tofauti na yeye akikufumania na watu wa aina hiyo?
 
ebu nipe wapi pameandikwa hivyo please, usitunge UONGO
Biblia inasema Kuwa mwanamke alueolewa akaachika Ni dhambi kuolewa Tena,ni dhambi kufanya nae tendo la ndoa..habari ndio hiyo utake usitake..

Biblia haikusema Kuwa mwanamme alieowa akaacha haruhusiwi kuowa tena..
 
Kilichowaponza wanawake cha kwanza kabisa ni maumbile yao particulary ile hali ya ku bleed,secondly ni yale yanayoendelea faragha kati ya mwanamke na mwanaume,Mara kuinamishwa,Mara kuingiziwa vidole etc. Kuna vitu vingi Sana vimemdhalilisha mwanamke tangu kuumba kwa dunia....ambavyo vimerithiwa na vizazi na vizazi. SAMAHANI KWA MANENO MAKALI YENYE UKWELI
Hiyo ya kwanza ni sawa yaani jukumu la mwanamke kuzaa na kulea watoto ni mzigo na kiunzi kikubwa kinachompunguzia usawa na mwanaume....ndio maana mwanamke anategemea extra support kutoka kwa mwanamume.

Kuhusu kutobolewa sioni Kama ni sababu ya kumzuia kuwa sawa na mwanaume....Sana Sana yaweza kuwa faida kwao kiuchumi na kibayolojia....ona wanawake wanaodanga kwa mfano, anapata pesa kutoka kwa mwanamume na wakati wa kugegedana anapokea maanii ambayo ni energy kutoka kwa mwanamume.....ndio maana ukichunguza sana utagundua mwanamke anaishi maisha MAREFU kuliko mwanaume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom