Mbona Mwarabu amemdharau sana mwanamke kiasi hiki? Tatizo ni nini?

Unauliza tatizo ni Nini? Waarabu wapo sahihi Sana na hivo ndivo Mungu anavotaka. Hawa wanaoleta usawa wa kijinsia ni evils na against nature.
Evils ni wale wote wanaowanyanyasa binadamu wenzao aidha wawe wanawake au wanaume kwa kisingizio cha nature au dini.

Eti evils against nature. Kwa hiyo wewe uliingia dili na nature muamue mahusiano kati ya watu yaweje?
 
Mie naona Bora wanawake wanajitambua kuliko mens
Wanawake wanaojitambua ni wachache wengi wana akili za kushikiwa , labda itokee apitie magumu flani ndo unakuta anaamka ila hivihivi wengi wamelala...........wanawake wengi wakijitambua inakua ukombozi kwenye jamii.......na hapa kujitambua naongelea ajue nafasi yake spiritually na katika haya maisha ya kidunia.....
 
Wanawake wanaojitambua ni wachache wengi wana akili za kushikiwa , labda itokee apitie magumu flani ndo unakuta anaamka ila hivihivi wengi wamelala...........wanawake wengi wakijitambua inakua ukombozi kwenye jamii.......na hapa kujitambua naongelea ajue nafasi yake spiritually na katika haya maisha ya kidunia.....
Nakuelewa Sana...mie bado naona wanawake ndo wamejitambua
 
Nakuelewa Sana...mie bado naona wanawake ndo wamejitambua
Kwa hii generation yetu sie wa miaka ya 90 wengi majanga...........wana act kama wanajitambua ila hawajitambui wengi ni wa mambo ya kucopy na kupaste bila kujua anacho copy kinaendana nae au lah.........wanakujaga kushituka njemba ishapiga mimba imejikata (sema kuna wale bado wanakuaga kichwa ngumu) au huku umri wa lala salama......................all in all mwanamke ana nguvu sana hapa duniani spiritually na physically...... shida kujitambua na hapo ndo mwanaume anapopiga gap
 
Sijaelewa ni Biblia gani imemdharau mwanamke, labda ungeanza kwa mifano. Kwa haraka haraka Biblia ina wanawake kama Esta nabii na Debora mwamuzi.
Sio waislam Wala wakristo kwa Bible mwanamke amedharauriwa Sana..!
Sasa mlozoea mfumo dume Sasa hivi uhuni huo haupo. Tunakaa bench moja tunaongea kuelewana!
 
Habari za muda huu wanaJF na poleni na majukumu ya kutafuta tonge. Niende moja kwa moja kwenye mada husika.

Hivi kwanini Mwarabu amemdharau sana mwanamke? Imenifanya nifikirie kwa undani zaidi baada ya jana kuona footage ikimuonesha Mwarabu akimtoa mwanamke kwenye mgahawa ambao eti inasemekana ni sehemu ya jamii ya kiume. Sasa the way alivyokuwa anamtoa utafikiri kama si kiumbe cha kawaida, ilinipasa kujiuliza mara mbili mbili.

Ivi wanawake si mama zetu kabisa na wamechangia kwa namna moja ama nyingine katika malezi yetu. Sasa kwanini anatengwa kama mtu kutoka sayari nyingine? Hii kitu ipo katika jamii nyingi za Kiarabu na sio hicho tu kuna vitu vingi ambavyo mwanamke anakatazwa kufanya kama vile:

• Haruhusiwi kuendesha magari
• Haruhusiwi kufanya kazi za jeshi na intelijensia
• Wanawake hawawezi kufungua akaunti benki bila ruhusa maalumu kutoka kwa mwanaume.
• Wanawake wanalazimika kuwa na ridhaa ya kiongozi wa kiume mfano katika familia ili kupata pasi ya kusafiria au kuondoka nchini.
• Kwenye maeneo mengine ya maisha mfano masomo, kazi na hata kwenye kupata baadhi ya huduma za kiafya mwanamke hapati kipaumbele sawa na mwanaume

Tatizo ni nini hasa mpaka kukawa na tabaka kubwa namna hii kati ya mwanamke na mwanaume? Ni mfumo au kitu gani? Mwanamke ana nini ambacho ni cha ajabu kiasi hicho? Au wanaona kama ni kiumbe hakistahili kuwepo?

Wanazengo wanaoelewa zaidi leo tuje kuwekana sawa hapa.
Waarabu wamenogewa sana na mmbadala wa mwanamke.
 
wamejitambua kivipi wakati wanaishi maisha tegemezi?? wanawake wengi sana wanawategemea wanaume
Tena bora zamani walikuwa wanategemea waume zao,sasa hivi wanawake wengi wanategemea hata wasiokuwa waume zao.

Katika ubora wa kujitambua na kujua thamani yao wanawake.

Basi wale wa zamani ni bora kuliko wa sasa hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom