Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 2,174
- 2,264
na hiyo ishu ya mpalestina na muisraeli kuhusu ardhi nadhani ina nafasi yake kwenye vita ya pili ya dunia walicheza karata moja nzuri sana hawa jama mpaka wakapata hiyo ardhiJiulize why baadhi ya waarabu waliuza kwa cash ardhi zao and then wanadai warejeshewe?