masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Iman ni kitu cha ajabu yaani mtu aje kwako aseme Mungu kamwambia amiliki alafu umwachie tu kweli hakuna ugonjwa mbaya kama kutokujitambua mm siondoki mpaka Mungu aje anitoe nimuone yaani watu wanamtumia Mungu kisiasa hii ni hatariKm Israeli wataambiwa na mungu waje waichukue Tanzania hatutakubali kamwe!Lakini Israeli akitumwa na Mungu JEHOVAH kuja kuimiliki Tanzania tutashindwa kuzuia,kumbuka "Mungu akisema ndiyo,hakuna mwanadamu awezaye kumpinga"