lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,947
- 3,462
hujawahi kuwa mkristu!wacha kuificha na lisigda lako kwenye 'ukristu'.Kisheria na kihaki kabisa lile eneo lote ni la palestina
Wayahudi wao walivamia ardhi ile tangu kipindi inaitwa kanaani wakitumia kigezo cha kwamba wamepewa na mungu wao wa vita.
Wanaotetea eneo lile kidini/wakristo hivi niwaulize ikitokea huyo mungu akiwaambia wayahudi leo hii kuwa amewapa tanzania nao wakaja kwa lengo la kuichukua tanzania mtawaelewa? mtamuonaje huyo mungu?
Kumbuka kama wakipewa tanzania leo hii watakuja na kuanza kutuua na kutufukuza tukawe wakimbizi kwenye nchi za watu ili wao wachukue tanzania waliyopewa na mungu wao! mnakubali kuna mungu mpumbavu kiasi hicho?
Hebu tumieni akili bwana
Nilikuwa mkristo lakini kwa vitu vya kipumbavu kama hivi nikauvua na sasa sina dini.
Wayahudi ndio wanapaswa kuondoka pale na kuwaachia wazawa/wakanaani/wapalestina wa pale ardhi yao yote!
Haiwezekani kuwe na mungu mwenye upendo na wa haki afanye mambo ya kipuuzi namna hii
Mnaoitetea israel jitafakarini hivi kesho wayahudi wakaja na madege ya kivita, vifaru, bunduki alafu waanze kutushambulia waseme wameagizwa na mungu kuja kuikalia tanzania kimabavu mtawaelewa?
ACHENI UPUMBAVU
waje wavamie tz kwan wameandikiwa kwenye biblia.
ushahidi wa kimaandiko wa biblia lile ni eneo lao na lazima walichukue....bado punde kidogo palestine itapotea kwenye ramani ya dunia na kubaki historia..wacha kucheza na wazayuni.nchi 32 za kiarabu zimeizunguka israel na kila siku wanagongwa,na watagongwa mpaka ukamilifu wa dahari.