Mbona Mnazidi kunichanganya?? Nani mmiliki?

They're "Extinct" just like the Amorites, Hittites, Hivites, Jebusites, Kenizzites, Perizzites etc
kama wakanaan unasema hawapo tena, unajuaje kuwa waliopo pale ni uzao halisi wa Israel? Kumbuka wakanaan na waislrael walikuwa waki exist kwa wakati mmoja?? Je tukisema wapalestina ndio wakanaan utabisha kwa ushahidi upi??
 
Mungu anasingiziwa mambo machafu sana,
mara ooh,walimchukiza mungu akawaangamiza,
ooh mfalme Belshazar sijui alikuwa na kiburi mungu akamwondoa,unajiuliza sasa huyo Belshaza alikuwa mfalme wa wapi.na aliwajibika vipi kwa mungu wa israel mpaka kiburi chake kimkere,
mbaya zaidi namtafuta belshaza kwenye history simpati,

ooh wale walifanya maovu mungu akawaua,unajiuliza hayo maovu ni gani ambayo sikuhizi hayafanywi,

ooh israel imebarikiwa huwezi kuipiga,mmh,kwani ubarikio huu ulianza rasmi 1967?,mbona karne na karne wanadundwa na kuchukuliwa mateka,
wanasema,kipindi kile walimchukiza mungu,

ha ha ha,kwahiyo sasa hivi hawamchukizi?,
au kwakuwa sasa wana F-16 mungu ndo anaona sawa tu wawe wanawadungua wapalestina mda wote,
ukijiuliza sana unagundua hakuna cha mungu hapo.
Mungu labda awe ndo wao wenyewe
 
hizi stori ndio hufanya watu wasiamini uwepo wa mungu,ila mimi huamini mungu yupo ila sie afundishwaye kwenye vitabu vya kipuuzi.
Endelea kuamini unachokiamini...! Ila kama mtaendelea kuwachokoza hao msiowapenda mtaendelea kulia na kukufuru
 
mimi mpogoro bulaza tena wajomba zangu kibao ni mapadri,sema tu nina akili slishwi matango pori halafu ni muumini mzuri wa mizimu.ukipenda niite mbuyi.sasa mtafute mpogoro muulize mbuyi ni nini.nakutakia ukristo mwema
 
kama wakanaan unasema hawapo tena, unajuaje kuwa waliopo pale ni uzao halisi wa Israel? Kumbuka wakanaan na waislrael walikuwa waki exist kwa wakati mmoja?? Je tukisema wapalestina ndio wakanaan utabisha kwa ushahidi upi??
Please soma hivi vifungu, nakupa kwa Kiswahili; 2Wafalme 24:14; 2Wafalme 25:11; 2Wafalme 25:21; 1Mambo ya Nyakati 9:1; 2Mambo ya Nyakati 36:20; Ezra 2:1; Jeremiah 13:19/39:9; Nakuacha na hizo kwanza.
Kuhusu majaliwa ya Wakanaani, soma Kumbukumbu la Torati 20:16-17.
 
mimi mpogoro bulaza tena wajomba zangu kibao ni mapadri,sema tu nina akili slishwi matango pori halafu ni muumini mzuri wa mizimu.ukipenda niite mbuyi.sasa mtafute mpogoro muulize mbuyi ni nini.nakutakia ukristo mwema
Jivunie mizimu yako ila akili ya kuhoji mambo ambayo huyajui na huyaelewi na hutaki kuelewa ukae huko huko upogoroni...ukija kwenye platform hizi uje na hoja zinazojitoshelesha. Tunaweza tukaendelea kupinga tu na kukataa kama unavyotaka wewe ila unadhani imesaidia nini tangu Umoja wa mataifa umeonesha msimamo kama wako? International politics siyo suala la mizimu na upogoro...
 
endelea kutafiti mkuu umzidi hata isack newton na upewe nishani kabisa.ni ujinga kwa anaejiita msomi kuhusisha ishu ya mashariki ya kati na mungu au imani ni upumbavu.
 
mungu hawezi kuwa hivyo anavyozungumzwa,ukichunguza utagundua ni kama anawahusu hao wayahudi au wana wa israel.au labda asiwepo lakini kama ndie basi ni fala
Waisrael Baba yao ni Ibrahim mzaliwa wa Uru ya ukalidayo Sasa Iraq.

Sasa wanasema Mungu alimtokea Ibrahim akamwamnia kuna nchi ya maziwa na asali atawapa uzao wake, Ambayo ilikiwa inaitwa Kanaani enzi hizo, wakati hiyo nchi tayati ilikuwa na watu wakaazi ambo ni wapalestina

Sasa wayahudi wamekomalia hilo mpk leo,

Sijui unamwambiaje mtu hapa ni kwangu wakati umemkuta, haiingii akilini hata kidogo
 
watu wamezifunika akili n haiba zao kwenye dini na imani hawana akili kabisa.tumekuwa watumwa wa imani hata palipo ukweli hatukubali,ukiechangia tofauti unaambiwa eti muislam haya mambo ndio hufanya watu wahoji uhalali wa mungu.kama yupo lakini
 
endelea kutafiti mkuu umzidi hata isack newton na upewe nishani kabisa.ni ujinga kwa anaejiita msomi kuhusisha ishu ya mashariki ya kati na mungu au imani ni upumbavu.
sijakataa na kudhani kwako kuwa ni upumbavu, ila unadhani kwamba tangu umeamini hivyo umebadilisha nini? Taifa kubwa lililokuwepo pale kabla ya 1940's kuja kukanyagwa chini na watu wachache kiasi kile ni ujinga pia, fuatilia historia ya watu hao, nje na kudhania dini jiulize pia kwa nini hadi leo wenyeji wanalia tu na walikuwepo pale wakti hao watu wakiwa uhamishoni kabla hawajarudi...
Ila pia ni upumbavu kulazimisha jambo libadilike kufuata matakwa ya unavyoona wewe...
 
hakuna anaebadilisha jambo hapa sote sisi ni wapiga gitaa,hakuna tunaloweza zaidi ya kutumia bando zetu za internet tu,ndio maana mwishoni kwa upumbavu wetu tutajivunia uisla na ukristo.uhalisia tunaukwepa
 
Uhalisia lazima uangaliwe kwa ushahidi uanaoelekeana, kama wewe unapoteza bando kuelimisha endelea kupoteza...
Ukiweka variables zina-support hoja yako utaeleweka wala si Uislamu wala Ukristo...!
 
hii haijaanza leo kama huu uzi utaendelea utayaona yakijitokeza,uliponiambia niendelee kuwachokoza nisiowapenda ulihisi mimi ni mpalestina nini au ni mwislam imani zitawaua.
 
Kisheria na kihaki kabisa lile eneo lote ni la palestina
Wayahudi wao walivamia ardhi ile tangu kipindi inaitwa kanaani wakitumia kigezo cha kwamba wamepewa na mungu wao wa vita.

Wanaotetea eneo lile kidini/wakristo hivi niwaulize ikitokea huyo mungu akiwaambia wayahudi leo hii kuwa amewapa tanzania nao wakaja kwa lengo la kuichukua tanzania mtawaelewa? mtamuonaje huyo mungu?
Kumbuka kama wakipewa tanzania leo hii watakuja na kuanza kutuua na kutufukuza tukawe wakimbizi kwenye nchi za watu ili wao wachukue tanzania waliyopewa na mungu wao! mnakubali kuna mungu mpumbavu kiasi hicho?
Hebu tumieni akili bwana
Nilikuwa mkristo lakini kwa vitu vya kipumbavu kama hivi nikauvua na sasa sina dini.

Wayahudi ndio wanapaswa kuondoka pale na kuwaachia wazawa/wakanaani/wapalestina wa pale ardhi yao yote!
Haiwezekani kuwe na mungu mwenye upendo na wa haki afanye mambo ya kipuuzi namna hii
Mnaoitetea israel jitafakarini hivi kesho wayahudi wakaja na madege ya kivita, vifaru, bunduki alafu waanze kutushambulia waseme wameagizwa na mungu kuja kuikalia tanzania kimabavu mtawaelewa?

ACHENI UPUMBAVU
Kwa andika lako hili kuwa Jews kwao ni Iraq alikotoka Ibrahim, basi hata Wangoni warudi kwao South Afrika tu
 
hii haijaanza leo kama huu uzi utaendelea utayaona yakijitokeza,uliponiambia niendelee kuwachokoza nisiowapenda ulihisi mimi ni mpalestina nini au ni mwislam imani zitawaua.
Nilidhani wewe ni Mpalestina-tuli wakati wowote unaweza uka-over react.
 
Back
Top Bottom