CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
Kila anayekwenda kumuuliza kwa siri kama ni gaidi majibu anayokutana nayo aikifika mtaani anajisemea"mchuma janga hula na wakwao"....anapiga kimya.Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo katika kipindi hiki ambacho mh Mbowe analala mchongoma na masela mbali mbali kule keko. Ni kweli tumezoea kuyaona baadhi ya mambo ambayo CCM na serikali yake huyafanya kwa lengo la kuwapoteza maboya wapinzani wao, mfano halisi ni mwaka 2015 ambapo CCM ya mzee Kikwete walikuja na style ya "mchawi mpe mtoto akulelee". Na kweli style hii ilizaa matunda baada ya wapinzani kuingia mkenge kwa kumpokea mtoto huyo ili wamlee na matokeo yake ilikuwa ni ushindi mtamu kwa CCM, huku wapinzani wakishikana uchawi wenyewe kwa wenyewe. Sasa baada ya CCM kufanya yale iliyofanya mwaka 2015, safari hii tulijua hali ingekuwa tofauti. Lakini kwa weledi mkubwa CCM imekuja na Mbinu nyingine ya kutuliza hali kuhusu kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani mh Mbowe. Kwanza walikuja na swala la gazeti fulan kuleta taharuki, na pili wakamalizia na picha la Sabaya akimuhusisha hayati Magufuli katika kesi yake. Na kwahili naweza kusema wamefanikiwa maana wanaharakati wote waliokuwa wanampigania Mbowe aachiwe huku mitandaoni washaonekana kumtelekeza mwenyekiti wao na kuvalia njuga swala la Sabaya. Hii ndo CCM iliyomshinda hata Nyerere mwenyewe bwana!!
Nenda kapate chanjo tafadhali.Mleta mada kamalizia hivi:
"Lakini kwa weledi mkubwa CCM imekuja na Mbinu nyingine ya kutuliza hali kuhusu kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani mh Mbowe. Kwanza walikuja na swala la gazeti fulan kuleta taharuki, na pili wakamalizia na picha la Sabaya akimuhusisha hayati Magufuli katika kesi yake. Na kwahili naweza kusema wamefanikiwa maana wanaharakati wote waliokuwa wanampigania Mbowe aachiwe huku mitandaoni washaonekana kumtelekeza mwenyekiti wao na kuvalia njuga swala la Sabaya. Hii ndo CCM iliyomshinda hata Nyerere mwenyewe bwana!!"
Duh.Mtambuka tuliza boli dawa ,ikuingie naiwaingie nyote.
Wale diplomat jana walikuwa ikulu au wapi?Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo katika kipindi hiki ambacho mh Mbowe analala mchongoma na masela mbali mbali kule keko. Ni kweli tumezoea kuyaona baadhi ya mambo ambayo CCM na serikali yake huyafanya kwa lengo la kuwapoteza maboya wapinzani wao, mfano halisi ni mwaka 2015 ambapo CCM ya mzee Kikwete walikuja na style ya "mchawi mpe mtoto akulelee". Na kweli style hii ilizaa matunda baada ya wapinzani kuingia mkenge kwa kumpokea mtoto huyo ili wamlee na matokeo yake ilikuwa ni ushindi mtamu kwa CCM, huku wapinzani wakishikana uchawi wenyewe kwa wenyewe. Sasa baada ya CCM kufanya yale iliyofanya mwaka 2015, safari hii tulijua hali ingekuwa tofauti. Lakini kwa weledi mkubwa CCM imekuja na Mbinu nyingine ya kutuliza hali kuhusu kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani mh Mbowe. Kwanza walikuja na swala la gazeti fulan kuleta taharuki, na pili wakamalizia na picha la Sabaya akimuhusisha hayati Magufuli katika kesi yake. Na kwahili naweza kusema wamefanikiwa maana wanaharakati wote waliokuwa wanampigania Mbowe aachiwe huku mitandaoni washaonekana kumtelekeza mwenyekiti wao na kuvalia njuga swala la Sabaya. Hii ndo CCM iliyomshinda hata Nyerere mwenyewe bwana!!
Wafuasi milioni kumi na tano? Sijui umetumia kigezo gani kuja na hizo takwimu.Wewe unapenda mipango yetu yote iwe wazi kwenu watesi wetu ,? Hamtafanikiwa, ni ajabu sema Mwenyekiti wa Chama ,na Chama chenye wafuasi ml 15 useme amesaulika, sijui unatumia vigezo gani?
Ni juzi wawakilishi wa nchi zinazowapa misaada, wametinga kisutu, mkaja na ngojela eti magari ya magereza mabovu , leo mnakuja na lingine
Nyie wabambe njaa mmealibu sura ya nchi, na sarikali ya awam ya 6 , alafu huyo mama anawachekea ,itoshe KUSEMA mmetimiza malengo YENU kumkwamisha huyo mama, mpaka mda huu mmefanya kuona kuongoza taifa Kama ni mzigo kumbe sivyo
Wafuasi milioni kumi na tano? Sijui umetumia kigezo gani kuja na hizo takwimu.
Hapo umekubali kuwa umekurupuka kujibu😀😀😀😀!Nenda kapate chanjo tafadhali.
Usiwe unakurupuka next time!Nenda kapate chanjo tafadhali.
Wewe Ni juha. Ktk hiyo thread Mbowe katajwa Mara 4. ccm imetajwa Mara 7. Unaona Sasa ulivyojianika utupu was akili yako?Tunazungumzia kuhusu Mbowe wewe unaanza oh ccm sijui nini, upuuzi mtupu.
Ligaidi linaendelea kusota kolokoloni.W
Wewe Ni juha. Ktk hiyo thread Mbowe katajwa Mara 4. ccm imetajwa Mara 7. Unaona Sasa ulivyojianika utupu was akili yako?
Sijakurupuka.Usiwe unakurupuka next time!
Kama alibambikiwa au hakubambikiwa, mahakama ndo itaamua. RIP Chacha Wangwe na Ben SAA8.Unayohakika Dudumizi,ilikuwa ndio lengo kumbambikia ili asahaulike sio, ona hata mnaogopa kumtoa mwamba hadharani. 😆
Mbowe ameingia mkenge kuwekeza siasa zake kwa vijana wa aina hii.Yaani Inashangaza sana.
Mama anakosaje usingizi wakati yeye ndo ameshika mpini, huku Mbowe na genge wake wamekumbatia makali!!Eti mbowe kasahaulika?
Muulize mama kama analala usiku
You motherfvckers are clowns
Raisi alienda BBC au BBC ndo ilienda kwa raisi kule Ikulu?Hahahaaa,muulize IGP kwanini aliitisha Press!Muulize huyo mama yenu kwanini alienda BBC kueleza aliyoeleza!
Kama si urais wa kuokota,Samia haingii kwa Mbowe hata theluthi moja!
Nafikiri hii ndio sababu ya yeye kusahaulika kwa haraka sana. Waswahili wanasema "mkono mtupu haulambwi.Hakuna dili la ruzuku tena! Utampigania mtu ambaye hana pesa za kukulipa ktk mikutano na safari?
Atajuta.Mbowe ameingia mkenge kuwekeza siasa zake kwa vijana wa aina hii.