TeknolojiAZamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa kutumia silaha au unyanganyi wa kwenye majumba ya watu?
Maana zamani ingawa social media zilikua chache ilz habari zilitapakaa kwa redio.magazeti na simu.
Ni miaka mingi sijasikia matukio.ya hivyo.?
Je ni experience niliyonayo mimi tu kutokana na mazingira niliyopo au mkoa ninaoishi?? na watu wengine huko kwenu vipi bado matujkio yapo?
Nb majambazi wengine nawajua kabisq ila matukio ndo hayatokei?? Hii imekaaje?? Au wameokoka??
HIvi na wale wanaojisalimishaga na silaha hua inakuaje hadi kusalimisha kitega uchumi cha kuchukua mshiko nje nje AKA mshiko fasta??
Weee ukoje huoKuna utapeli ambao ni mara 3 ya ujambazi !
MmmhUjambazi na majambazi huwa ni ushirika wa wahalifu na polisi hao hao!
Yamekuwa machawa kwenye vyama, ndo yanayouawa waandamanaji.Zamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa kutumia silaha au unyanganyi wa kwenye majumba ya watu?
Maana zamani ingawa social media zilikua chache ilz habari zilitapakaa kwa redio.magazeti na simu.
Ni miaka mingi sijasikia matukio.ya hivyo.?
Je ni experience niliyonayo mimi tu kutokana na mazingira niliyopo au mkoa ninaoishi?? na watu wengine huko kwenu vipi bado matujkio yapo?
Nb majambazi wengine nawajua kabisq ila matukio ndo hayatokei?? Hii imekaaje?? Au wameokoka??
HIvi na wale wanaojisalimishaga na silaha hua inakuaje hadi kusalimisha kitega uchumi cha kuchukua mshiko nje nje AKA mshiko fasta??
Yameachwa yaibie taifa kimamlaka hivyo hawana njaa kwa sasa,wanakwiba hadi kusaza!Zamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa kutumia silaha au unyanganyi wa kwenye majumba ya watu?
Maana zamani ingawa social media zilikua chache ilz habari zilitapakaa kwa redio.magazeti na simu.
Ni miaka mingi sijasikia matukio.ya hivyo.?
Je ni experience niliyonayo mimi tu kutokana na mazingira niliyopo au mkoa ninaoishi?? na watu wengine huko kwenu vipi bado matujkio yapo?
Nb majambazi wengine nawajua kabisq ila matukio ndo hayatokei?? Hii imekaaje?? Au wameokoka??
HIvi na wale wanaojisalimishaga na silaha hua inakuaje hadi kusalimisha kitega uchumi cha kuchukua mshiko nje nje AKA mshiko fasta??
Wale majambazi ndiyo hao hao ambao kwa sasa wanafanya kazi za uchawa na utekaji wa watu, na wengine Tuma pesa kwenye namba hii...Mbona majambazi yamepotea?
wale PANYA ROADI bora walivyokomeshwa,..wale kule KIBITI bora walivyokomeshwa.Ujambaazi ulimalizwa na Magufuli katika Ile miaka 5 yake ya kwanza
Na inaonekana Kwa msingi aliyoiacha Hadi Leo bado unafanya kazi
Wamebadili mfumo na mbinu,,hawaibi,kupora wala kunyang'anya kwa sasa wameboresha ni utapeli wa kutumia akili nyingi kuna mpaka ofisi rasmi za utapeliZamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa kutumia silaha au unyanganyi wa kwenye majumba ya watu?