Mbona kwa Nyalandu hamkuhoji gharama za uchaguzi?

Kinachoendelea kwenye siasa za Tanzania ni kama vita ya Wapalestina na Israel, Palestina akiua raia mmoja wa Israel israel inaua kumi.
 
Nyalandu alipojitoa CCM na kuja kwenu chadema mlijaza seva kushangilia lkn hakuna hata aliyehoji gharama za uchaguzi ila sasa wabunge wenu wanahama ghafla mnahoji gharama, mna matatizo ninyi watu, tuseme sasa hivi Wabunge 10 wa CCM wajitoa na kuhamia chadema, bado mjadala wa gharama za uchaguzi utakuwepo?

Acheni hizo, ...
Hivi nyie CCM simlisema mmemfukuza Nyalandu kwasababu alifanya ufisadi kwenye vitalu na mpaka tume ikatangaza kuwa jimbo liko wazi na wakasema sababu ni katibu mkuu wa CCM kupeleka barua kuwa mmemtimua Nyalandu huko CCM??

Mahakama yenu ya mafisadi mtampandisha lini????
 
Nyalandu alipojitoa CCM na kuja kwenu chadema mlijaza seva kushangilia lkn hakuna hata aliyehoji gharama za uchaguzi ila sasa wabunge wenu wanahama ghafla mnahoji gharama, mna matatizo ninyi watu, tuseme sasa hivi Wabunge 10 wa CCM wajitoa na kuhamia chadema, bado mjadala wa gharama za uchaguzi utakuwepo?

Acheni hizo, ...

Hilo la Nyalandu ccm ndio ya kulaumiwa maana ndio iliyomfukuza uanachama. Vinginevyo mtoe maelezo tofauti kudhibitisha unafiki wenu.
 
Ndio mjipange sasa, nyie endeleeni kuamini watu "wanaonunulika" alafu mdai mna wanachama, 2020 msilaumu mtu.
Kwa nini chadema mna recruit watu wanaonunulika?? Huu ni udhaifu wa hali ya juu ktk uongozi.
 
Huwezi kujivua uanachama wa chama kilichokupa tiketi ya kuingilia bungeni kisha ukabaki na ubunge.

Kuvuliwa au kujitoa uanachama ni tiketi ya kujivua/kuvuliwa ubunge.
Kama kuna waliobaki bungeni wakiitwa wabunge wa mahakama, basi wabaki kama mbunge wa bunge.
 
Kinachofanyika Chadema ni kuziba watu midomo. Hii ni Operation Zima Moto ya Chadema ambayo ni kinyume na mezani ya demokrasia na Uhuru wa kujiamulia mambo yako. Chadema lazima ikubali kama wananchama wao wote hawawezi kuwa na fikra sawa. Kila mtu anafanya kile anachopendezwa nacho.
Fikiria vizuri hapo halafu urejee tena.
 
Hahahaaaaaa Umemsikiliza Vzr lkn Upendo Au labda uchaguz wa jimbo la Nyarandu ushafanyika? Nimemuelewa xana Upendo tunalia njaa wakati Pesa tunafuja kwenye Chaguzi zisizo za lazima Maana huwezi ukajivua uanachama wa Chama ukatolewa bungeni utabaki kuwa mbunge kamili xaxa huko kujiondoa ubunge kisa kumuunga Magufuri why usijivue uanachama tu then ubaki kuwa Mbunge ili kuondoa gharama za kijinga
Yani ujivue uanachama then uendelee kuwa mbunge? Ni kwa zito tu ilikuwa hivo na hii ni kutokana na maamuzi ya mahakama.
 
Barbarosa si kila wakati lazima upost... Sometimes sit back and observe
We nani hadi umkate kauli Barbarosa,hoja hujibiwa kwa hoja na si kusema eti WEWE NYAMAZA ,wewe upost utumbo wako lakini wengine wanyamaze,ama kweli mtu akipenda chongo huit kengeza,badala ya kujiuliza kulikoni mnajifanya kama mbuni anayejificha kwa kuingiza kichwa mchangani wakati limwili lote lipo kweupe,jiulizeni kwanza badala ya kuhangaika kuwauzuia akina Barbarosa wasiongee,kama huo si udikteta uchwara nini?
 
Zito kabwe, Kafulila, na yule wa Zanzibar wa Cuf vp walipo vuliwa uanachama vp walitolewa Bungeni au Bunge la Awamu ya 5 limebadili kanuni
Kafulila hajawah vuliwa uanachama na alipotakiwa kuvuliwa uanachama alilia sana chama kikamsamehe.Hao wengine ni maamuz ya mahakama lkn sio ujiamlie tu kujitoa kwenye chama then ubaki kuwa mbunge na ingekua rahisi ka unavyofikir wengi sana wangekua wabunge wasio na vyama.
 
Fikiria vizuri hapo halafu urejee tena.
Na wewe umeaza kunipamgia cha kusema. Uluona hatasiku moja CCM inawazuia wanachama wake kuhama au kuwa na fikra tofauti? Bashe anaikosiwa CCM kila siku, hafanyi kitu. Nape hivyo hivyo, Nyalandu Lowassa, Kingunge wameondoka nani kasema kitu?
 
Hapa hakuna cha nyalandu wala uchafu wowote hawa wote hawna huruma na uchumi wa nchi inga nyalandu ana story yake ndefu tofauti na hayo mapumbavu ya cuf na chadema yana hama vyama kila siku bila kuhofu dhamana waliyo pewa ,

Nyalandu alianza kupata vitisho ndani ya chama chake , alianza kuwindwa na chakushanga leo mansema alihama wakati ccm inadai walimfukuza mnatuchanganya hapo , lakin hawa wengine tatizo lao ni lipi? Nyalandu inafahamika baada ya kuoneiana upande wa lissu ccm ikaanza kumsakama kwa kila aina ya vituko.
Acha kutetea ujinga ww.Na wenyewe wakisema hivo itakuaje?swala ni kwamba hamna hoja za mcng kuhusu gharama za uchaguzi na nakumbuka mlikua mnawashadadia hadi akina bashe na nape wahame,sa sijui gharama mlikua hamzion.Tulieni tu mpambane na joto la siasa za awamu ya tano.
 
Hilo la Nyalandu ccm ndio ya kulaumiwa maana ndio iliyomfukuza uanachama. Vinginevyo mtoe maelezo tofauti kudhibitisha unafiki wenu.
Vipi mliwahi ihoji ccm kuhusu gharama za kurudia uchaguzi!
 
Hahahaaaaaa Umemsikiliza Vzr lkn Upendo Au labda uchaguz wa jimbo la Nyarandu ushafanyika? Nimemuelewa xana Upendo tunalia njaa wakati Pesa tunafuja kwenye Chaguzi zisizo za lazima Maana huwezi ukajivua uanachama wa Chama ukatolewa bungeni utabaki kuwa mbunge kamili xaxa huko kujiondoa ubunge kisa kumuunga Magufuri why usijivue uanachama tu then ubaki kuwa Mbunge ili kuondoa gharama za kijinga
hauwezi kujivua uanachama ukabaki mbunge kwa mujibu wa sheria
 
Na wewe umeaza kunipamgia cha kusema. Uluona hatasiku moja CCM inawazuia wanachama wake kuhama au kuwa na fikra tofauti? Bashe anaikosiwa CCM kila siku, hafanyi kitu. Nape hivyo hivyo, Nyalandu Lowassa, Kingunge wameondoka nani kasema kitu?
Hata huko unakosema hakuna mtu kufanya anachotaka mkuu.
Hizo zitzkuwa vurugu.
 
Hata huko unakosema hakuna mtu kufanya anachotaka mkuu.
Hizo zitzkuwa vurugu.
Chadema hawana utaratibu wa kukosowana hata ndani, CCM utaratibu huo. Kimbuka yaliyowakuta Zitto na Mwigamba, na wao walilalamika kwenye vikao vya ndani. Kumbuka Mama Anna Mghwira alivyo sema juzi kuhusu kutoka kwake ACT.
 
Acha kutetea ujinga ww.Na wenyewe wakisema hivo itakuaje?swala ni kwamba hamna hoja za mcng kuhusu gharama za uchaguzi na nakumbuka mlikua mnawashadadia hadi akina bashe na nape wahame,sa sijui gharama mlikua hamzion.Tulieni tu mpambane na joto la siasa za awamu ya tano.
Kwani ujinga ngani unatetewa hapa au weewe ndio mjinga ambaye hutaki kielewa mada umejaa mihemko na mahabati ya kipumbavu , mie ntumia kichwa kufikiri sio kada wala kamanda nasema kwa ujumla wake kwamba mbunge kuthihaki dhaman aliyo pewa na wapiga kura wake ni dalili ya kwamba mbunge huyo hana elimu na hajui anamtumikia nani katika ubunge wake na ni kuwa umiza wapiga kura awe CHADEMA , CUF CCM , TLP and co , full stop wewe na ukada wako sijui ukamanda peleka huko kwa mazwazwa wenzio .
 
Back
Top Bottom