Mbona kwa Nyalandu hamkuhoji gharama za uchaguzi?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,612
2,000
Nyalandu alipojitoa CCM na kuja kwenu chadema mlijaza seva kushangilia lkn hakuna hata aliyehoji gharama za uchaguzi ila sasa wabunge wenu wanahama ghafla mnahoji gharama, mna matatizo ninyi watu, tuseme sasa hivi Wabunge 10 wa CCM wajitoa na kuhamia chadema, bado mjadala wa gharama za uchaguzi utakuwepo?

Acheni hizo, ...
 
Allen bj

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
214
250
Nyalandu alipojitoa CCM na kuja kwenu chadema mlijaza seva kushangilia lkn hakuna hata aliyehoji gharama za uchaguzi ila sasa wabunge wenu wanahama ghafla mnahoji gharama, mna matatizo ninyi watu, ...
Hahahaaaaaa Umemsikiliza Vzr lkn Upendo Au labda uchaguz wa jimbo la Nyarandu ushafanyika? Nimemuelewa xana Upendo tunalia njaa wakati Pesa tunafuja kwenye Chaguzi zisizo za lazima Maana huwezi ukajivua uanachama wa Chama ukatolewa bungeni utabaki kuwa mbunge kamili xaxa huko kujiondoa ubunge kisa kumuunga Magufuri why usijivue uanachama tu then ubaki kuwa Mbunge ili kuondoa gharama za kijinga
 
GoPPiii.

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
1,478

Huwezi kujivua uanachama wa chama kilichokupa tiketi ya kuingilia bungeni kisha ukabaki na ubunge.

Kuvuliwa au kujitoa uanachama ni tiketi ya kujivua/kuvuliwa ubunge.
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,100
2,000
Ni rahisi kusema hivyo kuliko kumaanisha, kumbuka tuko JF, hebu tuitendee haki slogan yake.. Hatuwezi kufanana mitazamo

Aiseeeee

Naona mabadiliko na haswa uhuru wa mtu kuandika anachotaka humu hayakupendezi haswa ukiona mnapuputika au?
 
Allen bj

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
214
250
Huwezi kujivua uanachama wa chama kilichokupa tiketi ya kuingilia bungeni kisha ukabaki na ubunge.

Kuvuliwa au kujitoa uanachama ni tiketi ya kujivua/kuvuliwa ubunge.
Zito kabwe, Kafulila, na yule wa Zanzibar wa Cuf vp walipo vuliwa uanachama vp walitolewa Bungeni au Bunge la Awamu ya 5 limebadili kanuni
 
Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,463
2,000
Nyalandu alipojitoa CCM na kuja kwenu chadema mlijaza seva kushangilia lkn hakuna hata aliyehoji gharama za uchaguzi ila sasa wabunge wenu wanahama ghafla mnahoji gharama, mna matatizo ninyi watu, ...
Hapa hakuna cha nyalandu wala uchafu wowote hawa wote hawna huruma na uchumi wa nchi inga nyalandu ana story yake ndefu tofauti na hayo mapumbavu ya cuf na chadema yana hama vyama kila siku bila kuhofu dhamana waliyo pewa ,

Nyalandu alianza kupata vitisho ndani ya chama chake , alianza kuwindwa na chakushanga leo mansema alihama wakati ccm inadai walimfukuza mnatuchanganya hapo , lakin hawa wengine tatizo lao ni lipi? Nyalandu inafahamika baada ya kuoneiana upande wa lissu ccm ikaanza kumsakama kwa kila aina ya vituko.
 
Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
5,819
2,000
Kinachofanyika Chadema ni kuziba watu midomo. Hii ni Operation Zima Moto ya Chadema ambayo ni kinyume na mezani ya demokrasia na Uhuru wa kujiamulia mambo yako. Chadema lazima ikubali kama wananchama wao wote hawawezi kuwa na fikra sawa. Kila mtu anafanya kile anachopendezwa nacho.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,023
2,000
Hahahaaaaaa Umemsikiliza Vzr lkn Upendo Au labda uchaguz wa jimbo la Nyarandu ushafanyika? Nimemuelewa xana Upendo tunalia njaa wakati Pesa tunafuja kwenye Chaguzi zisizo za lazima Maana huwezi ukajivua uanachama wa Chama ukatolewa bungeni utabaki kuwa mbunge kamili xaxa huko kujiondoa ubunge kisa kumuunga Magufuri why usijivue uanachama tu then ubaki kuwa Mbunge ili kuondoa gharama za kijinga
Ingeruhusiwa kujivua uanachama halafu unabaki na ubunge ingekuwa vurugu. Maana kuna mijitu inahama vyama kama nyumbu. Leo CCM...Chadema......Act.....CCM! Bora tubaki hivihivi.
 
BURUTA

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
302
500
Nyalandu alipojitoa CCM na kuja kwenu chadema mlijaza seva kushangilia lkn hakuna hata aliyehoji gharama za uchaguzi ila sasa wabunge wenu wanahama ghafla mnahoji gharama, mna matatizo ninyi watu, tuseme sasa hivi Wabunge 10 wa CCM wajitoa na kuhamia chadema, bado mjadala wa gharama za uchaguzi utakuwepo?

Acheni hizo, ...[/QUOT

Nyalandu hakukaririshwa script. Hakukuwa gharama za kumnunua. Gharama ni za uchaguzi tu.
Tofauti ni hoyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom