Mbona kwa Nyalandu hamkuhoji gharama za uchaguzi?

Walikwenda mahkamani kuomba zuio la kuvuliwa au kujadiliwa yanachama wao. Walibaki bungeni kwa nguvu ya mahkama
Sijui kama unajua na mtu wa namna gani?
Huyo anaona nyeusi anabisha makusudi na kusema hiyo ni nyeupe. Anatazama lakini haoni, asikiliza lakini hasikii, anasoma lakini haelewi anachokisoma. Sheria anaijua lakini hataki kuikubali.
 
Hahahaaaaaa Umemsikiliza Vzr lkn Upendo Au labda uchaguz wa jimbo la Nyarandu ushafanyika? Nimemuelewa xana Upendo tunalia njaa wakati Pesa tunafuja kwenye Chaguzi zisizo za lazima Maana huwezi ukajivua uanachama wa Chama ukatolewa bungeni utabaki kuwa mbunge kamili xaxa huko kujiondoa ubunge kisa kumuunga Magufuri why usijivue uanachama tu then ubaki kuwa Mbunge ili kuondoa gharama za kijinga
Mnalilia demokrasia ya maandamano tu..kwani we hujui hizo chaguzi ni sehemu ya demokrasia?
 
Nyalandu alipojitoa CCM na kuja kwenu chadema mlijaza seva kushangilia lkn hakuna hata aliyehoji gharama za uchaguzi ila sasa wabunge wenu wanahama ghafla mnahoji gharama, mna matatizo ninyi watu, tuseme sasa hivi Wabunge 10 wa CCM wajitoa na kuhamia chadema, bado mjadala wa gharama za uchaguzi utakuwepo?

Acheni hizo, ...
hawa jamaa cjui vp
 
Vipi mliwahi ihoji ccm kuhusu gharama za kurudia uchaguzi!

Mimi au sisi tulihoji? Mimi kama mimi huwa sishangilii mtu toka ccm na kuja cdm maana huwa sioni ubunifu wa wanaccm hata wakiwa huko huko ccm. Hivyo kwangu nikiona mwanaccm kaingia cdm kwangu ni kama kupokea mzigo. 90% ya wanaccm ni watu tegemezi hivyo sitarajii ubunifu wowote toka kwao, wengi wao wanaamini kushinda madaraka zaidi, na mbinu yao kubwa ni kutoa rushwa, kulagai na nguvu ya dola. Ni dhahiri mwanaccm hawezi mazingira ya cdm yanayohitaji uvumilivu, ubunifu na ujasiri. Kwa mtu wa namna hii ni lazima atarejea ccm kwani cdm hakuna upendeleo.

Mimi simkubali Magufuli katika mambo mengi hasa udhaifu wake kwenye demokrasia na msimamo wangu uko wazi hapa jukwaani na ww unafahamu hilo. Lakini kwenye mambo niliyomuunga mkono ni kubana matumizi kwa mambo yasiyo ya msingi. Sasa ninapoona tunarudi kwenye chaguzi zisizo na lazima huku chama chake kikiwa kinara wa sababu za matumizi hayo, naona tumerudi kulekule kwenye tatizo la viongozi wa kiafrika kufuja kodi za wananchi. Do I need to say more?
 
Nyalandu alipojitoa CCM na kuja kwenu chadema mlijaza seva kushangilia lkn hakuna hata aliyehoji gharama za uchaguzi ila sasa wabunge wenu wanahama ghafla mnahoji gharama, mna matatizo ninyi watu, tuseme sasa hivi Wabunge 10 wa CCM wajitoa na kuhamia chadema, bado mjadala wa gharama za uchaguzi utakuwepo?

Acheni hizo, ...
Upinzani wana matatizo sana
 
Hoja za nyalandu kuhama zinaeleweka

Btw ccm si mlisema mmemfukuza...sasa why are you contradicting yourselves?

Mtu unawasaliti wananchi kumuunga mkono mtu...kama hayupo je? Au kesho ikawa vyovyote...hatuombei mabaya
 
Back
Top Bottom