Mbona kimya sana siku hizi ??

Mbona kimya sana siku hizi ??

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
Sijamsikia kabisa huyu jamaa siku za karibuni.
Vipi mbona kimya sana....????
 
yuko bize kuhamishia fedha zake tz toka Uswis
 
Subiri kwanza issue za Uswisi zipoe mbona una haraka hivo
 
Sijamsikia kabisa huyu jamaa siku za karibuni.
Vipi mbona kimya sana....????

imagejpeg


Aseme nini tena?
Unacheza na Zitto weye!
 
...hahahaaaa...anafikiria jinsi ya kumwondoa mwenyekiti
 
Likipoa suala la vijisemti vya uswisi utamskia
 
Jana wakati bunge likihitimisha hoja ya mdee aliomba sana mwongozo wa spika, mhagama akampotezea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom