Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

Sisi tuko Kimya, tunajua kutokana na hali ilivyofikia nyinyi ndio mutakaouvunja Muungano
 

 
Kwanini huwa mnafeli sana mitihani? Hili swali nauliza huu mwaka wa 10 sijapata jibu
Hebu anza na ni nani anae set mitihani na nani ana mark mitihani, wapi inakofanyiwa marking na mwisho ni nini agenda ya badi ya mitihani kwa wazanzibari? Mwisho mbona wale waliopelekwa Canada kusoma baada ya kutofanya uzuri katika mitihani iliyotungwa na bodi ya mitihani ya wadangayika, lakini walifanya vizuri katika mock exams zilizotungwa zanzibar, wanaendelea vizuri sana katika elimu yao ya juu na hakuna alie feli mwaka wao wa kwanza?
 
Sasa hv wanatawala kote kote wapige kelele za nini?

Chao ni chao....na chetu pia ni chao
Tatizo la wadanganyika ni kuwa humwishi kutafuta sababu za kulalamika. Mnalalamika raisi akiwa muislamu, mnalalamika akitokea zanzibar na hata akiwa mkristu na anatokea bara mnalalmika alikotokea, Yaani hata sijui mnataka raisi awe kutoka wapi na anafata dini gani ndio mridhike? Kwa nini hamridhiki kuwa raisi ni mtanzania full stop? Kwa nini daima ni udini na ukabila tu!
 
mzee watanzania tunaongea kiswahili hayo masum bukuma fahyum ndo manini?
 
Nani anagharamia scholarships za hao waliofeli mitihani, ni Shamba la Bibi kama kawaida?
 
Nani anagharamia scholarships za hao waliofeli mitihani, ni Shamba la Bibi kama kawaida?
NGO imeanzishwa na wazanzibari na haipatiwi senti moja na serikali ya zanzibar au tanganyika, Ni NGO ya wazanzibari waishio nje ya nchi kwa manufaa ya wanzibari walio ndani ya nchi. EAT YOUR HAT!!! Ha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…