Tatizo Traffic ndio wanaoleta foleni Jiji hili.Karibu mwezi sasa hali ya barabara haifai. Hapa nasikia Bagamoyo Road hakufai, Morogoro Road hakufai, Kilwa Road hakufai. Tatizo nini na tumeambiwa watu wamehamia Dodoma? Kuna watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.
Kama wakiita magari fairly lazima mtatembea, unapoita magari upande mmoja kwa dakika 20 maana yake una-tripple congestion, kwenye junction zile barabara tatu kwa dakika ishirini zitaongeza congestion mpaka kwenye barabara ndogo.Hata mimi nahisi hivyo
😂 😂 😂Mkuu kitambi siyo sifa ni ugonjwa unaokumaliza taratibu bila ya wewe kujua, hebu jitahidi kufanya chchote iwavyo ili ukiondoe hicho kitambi mkuu kabla hakijakugharimu. Ila siyo lazima kuufuata ushauri wangu.
Poleni sana watu wa Dar,nilishafeli kuishi dar,nikija ni shopping na kula kuku basi
Karibu mwezi sasa hali ya barabara haifai. Hapa nasikia Bagamoyo Road hakufai, Morogoro Road hakufai, Kilwa Road hakufai. Tatizo nini na tumeambiwa watu wamehamia Dodoma? Kuna watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.
Ila mkuu ofisi nyingi zimepungua posts. Foleni sasa hivi iko nje ya mji. Mfano Bagamoyo road zote ukivuka selander bridge kule mbele kuingia mjini hakuna foleni. Kilwa road ukivuka gerezani katikati ya mji unapeta dakika 10 ushafika Kinondoni,Makumbusho. Morogoro road ukivuka Manzese au Magomeni mbele hakuna foleni? Why? Main junctions ndio tatizoMagari yanaongezeka, na hakuna uwiano na miundombinu iliyopo...
CBD bado ni ile ile tangu mkoloni, Kariakoo ni kulekule tangu mkoloni...
Kitu pekee tunachojiaminisha kitapunguza foleni ni kuweka overpass na kupanua barabara, lakini shughuli kuu bado zimeachwa kuwa posta au kkoo...
Kitu pekee kinaweza kikapunguza foleni ni kurudi katika master plan, kuwe na vitovu vya mji vingi...
Miji iliyoendelea huwezi ukakuta vitu vipo centrolized kama kwetu...yaani ukitaka nyanya uende Kariakoo na ukitaka simu pia uende Kariakoo...this should change...
Halafu hapo mtu anakaa Kerege.Hali ni mbaya sana nafikiri sasa tutaelewa maujenzi yanayoendelea. Barabara lazima ziboreshwe
Kwani mkuu haupo A Town?Yes,from kuzaliwa mpk kujitegemea.
Ntakuwa nakuja likizo huko najua kitapungua tu mkuu...Mkuu kitambi siyo sifa ni ugonjwa unaokumaliza taratibu bila ya wewe kujua, hebu jitahidi kufanya chchote iwavyo ili ukiondoe hicho kitambi mkuu kabla hakijakugharimu. Ila siyo lazima kuufuata ushauri wangu.
Fact.Nahisi ni huu ujenzi unaoendelea maeneo mengi ya katikati ya mji pale Ubungo kuelekea Kibaha, Mwenge kuelekea Posta, SGR pale Buguruni, na maeneo ya Shaurimoyo, Ujenzi unaoendelea pale mbagala..
Lakini pia kuna tatizo la mipango miji kwenye jiji la Dar es salaam, Shughuli nyingi za uzarishaji mali na maofisi yapo sehemu moja kwa maana ya Posta na Kariakoo hivyo hupelekea watu wote asubuhi kuelekea huko na jioni kuondoka..
Jiji la Dar es salaam linatakiwa liwe funzo kwetu katika kuijenga miji mingine inayokua kama DODOMA, MWANZA NA ARUSHA..
Ila mkuu ofisi nyingi zimepungua posts. Foleni sasa hivi iko nje ya mji. Mfano Bagamoyo road zote ukivuka selander bridge kule mbele kuingia mjini hakuna foleni. Kilwa road ukivuka gerezani katikati ya mji unapeta dakika 10 ushafika Kinondoni,Makumbusho. Morogoro road ukivuka Manzese au Magomeni mbele hakuna foleni? Why? Main junctions ndio tatizo
Huu utaratibu siku hizi haueleweki
Mlimchagua Mdee mwambieni awajengee barabara sasaBwax Road wanakaa wengi Matajiri wanamiliki mikoko,Bwax Road inabidi waweke njia nane kama Moro road.
Wazee baada ya kustaafu ndo wamerudi huko mkuu,so 70% nakua Chuga na 30% Dar mkuu.Kwani mkuu haupo A Town?