Mbona foleni zimezidi?

Mbona foleni zimezidi?

Karibu mwezi sasa hali ya barabara haifai. Hapa nasikia Bagamoyo Road hakufai, Morogoro Road hakufai, Kilwa Road hakufai. Tatizo nini na tumeambiwa watu wamehamia Dodoma? Kuna watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.
Wewe tulivyosema wajenge fly over Morroco si ulikuwa unapinga wewe, ukadai ni bora wajenge daraja baharini? Sasa unalia nini? Subiri daraja la selander liishe labda tutapata unafuu..
 
Wewe tulivyosema wajenge fly over Morroco si ulikuwa unapinga wewe, ukadai ni bora wajenge daraja baharini? Sasa unalia nini? Subiri daraja la selander liishe labda tutapata unafuu..
Kunywa maji kwanza.
 
Back
Top Bottom