Mbona foleni zimezidi?

Mbona foleni zimezidi?

Wazo zuri sana hili na nadhani awamu ya 5 ilifanyie kazi cha msingi kodi muwe mnachukua za wanachama wa chama tawala tu,za kodi za wapinzani wakusanye wakina mdee ili watujengee barabara.
Mlimchagua Mdee mwambieni awajengee barabara sasa
 
Tena Mwz ndio wanahali ngumu sana maana road ya kwenda town ukitokea nje ya mji huko Buhongwa/nyegezi ni 1 tu,kuna muda itafika watasaga meno kwa kilio cha foleni.
Fact.

Mwanza soon inakua grid locked kama Dar kwa sababu ofisi zote za umma ziko mjini na hawana mpango wa kuniondoa na kuzitawanya.

Pamoja na kukua kwa tehama bado ofisi zinarundikana sehemu moja utafikiri tuko miaka ya 60 ambapo ofisi zilikua zinahitajika kukaa jirani ili iwe rahisi kwa kuhamishiana nyaraka.

Angalia hata Dodoma, ujinga ni ule ule kuweka ofisi za serikali eneo moja, hatujifunzi, viongozi wetu kila siku wanatembelea ulaya hawajifunzi hata kidogo.

Hizi nchi zetu masikini ni masikini hadi akili za kupanga miji.
 
Mambo ya foleni zitakuwa juhudi za Serikali ya awamu ya 5 inabidi tuipo ngeze kwa kutuongezea foleni.
 
Sometime ninapokatiza na kipikipiki changu kwenye foleni na kuwaangalia madereva wa magari, I wish wangeona my wicked smile under my helmet.

Ila mkiwa kwenye foleni enyi wenye magari tafadhali baneni upande mmoja ila sisi tuweze kupita bila shida wala tusipige vile vihoni vyetu vya kukera.
 
Karibu mwezi sasa hali ya barabara haifai. Hapa nasikia Bagamoyo Road hakufai, Morogoro Road hakufai, Kilwa Road hakufai. Tatizo nini na tumeambiwa watu wamehamia Dodoma? Kuna watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.
Dar 90% ni squater hakuna barabara za kutosha watu wote mkienda mjini mnatumia barabara moja,kwanini pasiwe na foleni,serikali ilitakiwa ijenge mji mwingine nje ya dar ambao uko planned eg bagamoyo,kibaha
 
Karibu mwezi sasa hali ya barabara haifai. Hapa nasikia Bagamoyo Road hakufai, Morogoro Road hakufai, Kilwa Road hakufai. Tatizo nini na tumeambiwa watu wamehamia Dodoma? Kuna watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.
Barabara karibuni zote zimejaa 1.S.T na stalet kidogo maana kidogo ndo zinatumia mafuta kidunchu
 
Sometime ninapokatiza na kipikipiki changu kwenye foleni na kuwaangalia madereva wa magari, I wish wangeona my wicked smile under my helmet.

Ila mkiwa kwenye foleni enyi wenye magari tafadhali baneni upande mmoja ila sisi tuweze kupita bila shida wala tusipige vile vihoni vyetu vya kukera.
Huwa naziba kabisa ili msivunje side mirrors
 
RRONDO,
Mvua zikinyesha huwa barabara zinakuwa na foleni sana hii ni kutokana na kila mtu anawasha gari yake anaingiza barabarani kuepuka kuloana.
Ishu ya foleni na mvua ni polisi kukimbia mvua na kutoongoza magari. Trafiki light haziwezi ongoza gari sìku za kazi. Hivyo wenye haraka huchomekea na kuzua foleni zaidi.
 
Back
Top Bottom