Nahisi ni huu ujenzi unaoendelea maeneo mengi ya katikati ya mji pale Ubungo kuelekea Kibaha, Mwenge kuelekea Posta, SGR pale Buguruni, na maeneo ya Shaurimoyo, Ujenzi unaoendelea pale mbagala..
Lakini pia kuna tatizo la mipango miji kwenye jiji la Dar es salaam, Shughuli nyingi za uzarishaji mali na maofisi yapo sehemu moja kwa maana ya Posta na Kariakoo hivyo hupelekea watu wote asubuhi kuelekea huko na jioni kuondoka..
Jiji la Dar es salaam linatakiwa liwe funzo kwetu katika kuijenga miji mingine inayokua kama DODOMA, MWANZA NA ARUSHA..