Mbona foleni zimezidi?

Mbona foleni zimezidi?

Karibu mwezi sasa hali ya barabara haifai. Hapa nasikia Bagamoyo Road hakufai, Morogoro Road hakufai, Kilwa Road hakufai. Tatizo nini na tumeambiwa watu wamehamia Dodoma? Kuna watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.
Hizi ni siku tofauti
IMG20191108203848.jpeg
IMG20191027204300.jpeg
 
Kuhamia dodoma sio suluhisho,kwan gari zao wame waachia vijana wao,sema nini acha kujifanya mdadisi saaana,wacha wa2 wa UBER tupige kazi kwani nyie hamjui sisi 2kikutana na foleni ndo 2na furahia?
Kuna foleni zingine ni upuuzi wa viongozi tu. Mnasimmishwa wakati yeye bado anaoga.
Mfano selander bridge kutokea moroko foleni lake ni la kutengenezwa tu.
 
Huwa naziba kabisa ili msivunje side mirrors
Ukiziba kushoto utaachia kulia tutapita.

Ukiziba kulia kushoto patakuwa wazi tutapita. Chagua upande. Sema kuna watu wanachomekeana vibaya wanaziba everywhere hawa ndio side mirrors zao zipo at risk.

Ila wabaya wenu wakuu wanaokwangua body za magari ni madereva wa bajaji wanaoforce kupita kama bodaboda. Sisi hatuna ubaya na mtu.
 
Huwa nawaachia kushoto.
 
Ila Tabata ni majanga sio foleni.
Mnyororo unaanzia Bima mpaka Kinyerezi shule.

Mvua zikinyesha watu hawatumii njia za panya kutokea barabara kubwa kukwepa kuharibu gari. Wote wanalundikana lami. Hiyo ndio theory yangu ya kuongezeka kwa foleni kipindi cha mvua.

Mfano barabara ya magereza kutokea jeshini then external na chang'ombe to kimanga kutokea jeshini then external hazifai kwa gari ndogo na mvua. So lazma kuzungukia relini.

Vingunguti nayo from pugu road sio pa kitoto.

Kinyerezi kutokea gongo la mboto kwa kupitia ulongoni kuizunguka songas na penyewe the same.

Load kwenye main roads is too high.
 
Dar gani yenye barabara moja kwenda mjini? Dar yote ni jiji.
Barabara zipo nyingi ili ufike kati kati ya jiji inategemea watokea wapi.
Dar 90% ni squater hakuna barabara za kutosha watu wote mkienda mjini mnatumia barabara moja,kwanini pasiwe na foleni,serikali ilitakiwa ijenge mji mwingine nje ya dar ambao uko planned eg bagamoyo,kibaha
 
Hahaa nimejikuta nacheka sana..umehamia wapi kwenye raha namna hiyo?
Tokea nimehama huo mji nimegundua kuwa kumbe hata mimi nilikuwa na kitambi lakini kutokana na hekaheka za kugombea madaladala kilikuwa kimejificha,sasa hivi kametuna hadi raha...
 
Huko Dar kukiwa na ujenzi wa miundombinu ajali za kizembe na za kawaida...pamoja na mvua...foleni lazima
 
Tokea nimehama huo mji nimegundua kuwa kumbe hata mimi nilikuwa na kitambi lakini kutokana na hekaheka za kugombea madaladala kilikuwa kimejificha,sasa hivi kametuna hadi raha...
 
Dar gani yenye barabara moja kwenda mjini? Dar yote ni jiji.
Barabara zipo nyingi ili ufike kati kati ya jiji inategemea watokea wapi.
Ziko wapi hizo barabara wadanganye wajinga,huo mji hauna hata hadhi ya kuitwa jiji,bora Tanga na Dodoma
 
You are brave.
Sometime ninapokatiza na kipikipiki changu kwenye foleni na kuwaangalia madereva wa magari, I wish wangeona my wicked smile under my helmet.

Ila mkiwa kwenye foleni enyi wenye magari tafadhali baneni upande mmoja ila sisi tuweze kupita bila shida wala tusipige vile vihoni vyetu vya kukera.
 
Back
Top Bottom