Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 400
- 811
Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni ya ULAYA iitwayo PUMA(Ujerumani)
Pia kwa mujibu wa Mghana Micky Jnr Jezi ya Esperance ni euro 84 sawa na tshs 250,000 unanunua Jezi za Simba tano na chenji inarudi
Esperance uzi wake unatengenezwa na kampuni ya Kiitaliano iitwayo Kappa
Sasa najiuliza hii ulaya inakotengenezwa jezi ya Simba na kuja kuuzwa bei sawa na Jezi ya Yanga ni ulaya ipi? kwani Ulaya ziko ngapi? au ni Italia vijijini?
Souce Accessories | Sundowns FC Online Store