Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,185
- 22,591
Write your reply...
na hata leo sioni kitu hawa kenge naona wanatuchezea
shenzy
na hata leo sioni kitu hawa kenge naona wanatuchezea
shenzy
Maombolezo TvWrite your reply...
na hata leo sioni kitu hawa kenge naona wanatuchezea
shenzy
tena bora wasionyeshe tena qumaniner zao haoMaombolezo Tv
😂😂😂😂😂Maombolezo Tv
Mkuu tuache kuchanganya Biashara na misiba,sioni mahusiano ya vifo na kuonyesha mpiraUna roho ngumu sana mkuu. Watu wamefiwa wewe unawaza burudani tu.
Hakuna uhusiano wowote na kuonyesha mpiraIla ukijaribu kuvaa viatu vya wafiwa aisee!!!acha tu wasionyeshe.
Paka afcon iishe. HahaNauliza tu kwani yale maombolezo mwisho lini?
Hahaa. Yaani jirani wananilaza mapema bila hata kutaka aiseee. Mana mwezi huu wote nilishajiandaaa kuchelewa kulala. 😀😀😀Paka afcon iishe. Haha
Lipia dies tivi jirani. Mimi nafurahia nimepata sababu za kwenda kibanda umiza kuchek gameHahaa. Yaani jirani wananilaza mapema bila hata kutaka aiseee. Mana mwezi huu wote nilishajiandaaa kuchelewa kulala.
Watuambiage basi.
Hiyo dies tv ndio nini jirani umeniacha hapo? 🙈Lipia dies tivi jirani. Mimi nafurahia nimepata sababu za kwenda kibanda umiza kuchek game
Wote twende wapi? Abaki home kule kuna mbu saana.Hiyo dies tv ndio nini jirani umeniacha hapo?
Wacha weee. Mi ningekuwa Wifi yaani tungeambatana wote tu.
Hahahaaa. Si atabeba shuka lile la Masai jirani.Wote twende wapi? Abaki home kule kuna mbu saana.
I meant dstv 19.000....
Kama wao hawaoneshi mpira kwanini wazifungie channel kama UBC unapofika muda wa mpira?.Una roho ngumu sana mkuu. Watu wamefiwa wewe unawaza burudani tu.
Hakuna sababu yoyote ya msingi inayopelekea UBC na Rwanda TV kuwa blocked unapofika muda wa mpira.? wao hawaoneshi its okaym Kwanini wablock hizo channel zingine?Kuwa na utu mkuu.
Tafuta mawasiliano yao wakupe sababu za msingi za kukatika kwa matangazo hayo unayoyapenda.
Msiba mkubwa huu mkuu wavumilie ndugu zetu kwa muda.
Hoja dhaifu hii.... UBC na Rwanda Tv zinamilikiwa na Azam Media Group? Kwanini waziblock unapofika muda wa match ilihali wao match yao hawarushi?Ila ukijaribu kuvaa viatu vya wafiwa aisee!!!acha tu wasionyeshe.
Hivi unajielewa kweli ww? Kwanini azam TV wanaziblock UBC na Rwanda Tv unapofika muda wa match ilihali channel yao ya UTV haioneshi mpira?Haya yalitokea kwa mengi kwa ruge watu hamkulalama...
Kweli ukifa fukala au hauna status ni tatizo...! Dunia ina vioja hii...!!
Mshana na ww unatetea hili? Sawa kwanini wazifungie UBC na KBC ambazo nazo zinarusha huu mpira? inapofika tu muda match inaanza wanazizimaWako msibani wamepoteza waajira saba kwa mpigo kwenye ajali
Wanatoa heshima za mwisho, afcon hawaoneshi ila Cecafa inarushwa... Wamezipiga pin chanel zingine zinazorusha mpira kama UBCIna maana haujui kilichotokea kwa wanahabari wao 5.Wanaheshimu uhai wa mtu hata akifariki akiwa nao bado wanaendelea kutoa heshima zote kwao.Hongera Tido hongera Azam kwa kutambua hilo na poleni sana.Mlipofiwa wao waliendelea bila kujali na ni kazi yao vijana walikuwa wanakwenda kufanya.Ndivyo walivyo wala hatuwezi kuwazoe, tutawaambia tu ili wajue kuwa,Mwenzako akinyolewa,endelea kulowanisha za kwako.