Mbona Azam UTV hawaoneshi mpira leo?

Yani jamaa wali ban UBC, KBC na RWANDA TV. Ikabaki hiyo yao lkn sasa nao wapo kwenye maombolezo. Lkn vipindi vingine vipo hewani kama kawaida.
 
Azam ni kituoa kibovu kuwah kutokea ila haijapata changamoto tu ndio maana hufanya anachojiskia...

Ni mara nyingi saaana anafanya upumbavu... Nashangaa wawekezajj hawatak kutumia hii chance kuanzisha visumbusi vingine
 
Pole yako hv unafkl kuonyesha mpira live viwanja sita tofauti kwa wakati mmoja unaitaji mtaji wa milioni 100? Waambie waanzishe washindane kama awatafilisika ndani ya mmoja. Badala yakumpongeza kwa kujalibu ndo kwanza mnamponda kampuni inamiaka mitano toka imeanzishwa ila mnatoa povu kibao kanunue continental aunt dig- tek ukaangalie mpira uko. TBC pamoja na kuwa TV ya taifa imeshindwa kuonyesha mechi za taifa stars ila bado unakaa chini unapiga domo. Kaanzishe wewe kituo chako ili utuonyeshe mpira live. Channel yenyewe ni ya bule ila bado mnapiga kelele.
 
Unamsema nani mzee
 
Watanzania Msiba mkubwa ule jamani..
Acheni nini hayawakuta labda...

Soccer ni Celebration.
Wapo kwenye maombolezo media nzima.
AFCON tu ndio celebration, CECAFA, marudio ya la liga, sinema zetu na tamthilia nyinginezo ni maombolezo.
Cha kushangaza madereva waliofariki pamoja na watumishi wao hata hawajapewa nafasi kubwa.
 
Waking sana, walijinasibu kuwa wanaonesha mechi zote.
Nimeongea nao ,wamesema hawana kibali cha kuonesha robo fainali.
Pia za Kenya na zingine wamesema hazinakibali cha kuonesha nje ya mipaka ya nchi zao .Kwa hiyo tupambane na hali zetu.
Kwenye king'amuz Cha zuku naangalia kupitia Congo tv mech zote,,,,,Chanel namba 3350
 
Unajua kuna vitu vya ajabu Mimi nataka nione AFCON maswala ya msiba yapo lakini mngetumia utaratibu mwingine. Kwani huwa hamuoni kwenye nchi za wenzetu wanavyoomboleza. Kwa mfano leicester city walifiwa na bosi wao lakini walimboleza kwa kumuombea kwa muda then wanaendelea na mechi. Mbona wakifa wateja wenu hamuombolezi. Mi ninachokiona hapa kuna sababu zingine na sio kuomboleza.
 
Nami naona kuna sababu nyingine, inayowafanya wasionyeshe AFCON. sio kwa sababu wamefiwa. Kama wao wameona sio vizuri kuonyesha michezo hiyo wakiwa MAOMBOLEZONI, mbona muda huo wanaonyesha marudio ya ligi kuu yetu iliyopita!?
 
Azam ni kituoa kibovu kuwah kutokea ila haijapata changamoto tu ndio maana hufanya anachojiskia...

Ni mara nyingi saaana anafanya upumbavu... Nashangaa wawekezajj hawatak kutumia hii chance kuanzisha visumbusi vingine
Mkuu mbona kuna digitek, zuku, continental, startimes, na dstv ?
 
Nimeshangzwa sana kuona Kampuni kubwa kama Azam inafanya upuuzi kiasi hicho! Namna hii kuna haja ya kuwa na king'amuzi cha Dstv.
Nilikuwa na mashaka tangu mwanzo Azam kuonyesha kwa ukamilifu hii michuano. Ndio maana nikaamua kulipia Dstv yangu badala ya Azam
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom