Mbona Azam UTV hawaoneshi mpira leo?

Hapa ndo unapoona tofauti ya DSTV na huu upuuzi , baada ya miaka 4 ya kuwa mteja mtiifu wa AZAM ,mwezi huu naachana nao ..this is unacceptable kwa kweli
mi mwenyewe nilikua nawakubali sana hawa jamaa ila daily upumbavu unazidi channel nzuri wanazichomoa hili la mpira maajabu CECAFA iko hewani ila Afcon wanazingua kwangu soon kuna haja ya kupandisha dishla blue!
 
Naona maombolezo yameelekezwa zaidi kwenye kutokuonesha Afcon tu! Ila mahanjumati na vipindi vingine kama mashindano ya Secafa ya yule Nkurunzinza Musonye, naona yanaendelea kama kawaida. Ni ngumu sana kuwaelewa.
 
Azam media mnatuangusha wateja wenu! Bora hata mngetoa sababu ya kutokuendelea kuonesha haya mashindano kupitia channel zenu na tungewaelewa tu!

Huku kunyamaza kwenu kimya kunaleta picha ya ukiburi na dharau kwa wateja wenu! Kama sababu ni maombolezo, basi mtuambie mbona Secafa mnaionesha mubashara hata siku ajali ilipotokea? Iweje kwenye Afcon tu ndiyo kuwe na nongwa?
 
Azam huu ni upuuzi Rwanda TV na UBC zinarusha afcon walizipiga ban ili tu watu wote muangalie channel yao ya UTV, wamepata matatizo wameigeuza UTV ndio channel ya maombolezo(No problem). Ila ujinga ni pale ambapo wanaendelea kuziban UBC na Rwanda TV kuonyesha Afcon wakati channel yao haioneshi.
 
Back
Top Bottom