KERO Mbolea za YARA zimekuwa changamoto kupatikana kwa RUZUKU muda mrefu sasa hasa ukanda wa pwani.

KERO Mbolea za YARA zimekuwa changamoto kupatikana kwa RUZUKU muda mrefu sasa hasa ukanda wa pwani.

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,578
Reaction score
1,817
Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana kulipwa. Ukiwapigia YARA sio rahisi kuwapata hata simu zao ni changamoto kupokelewa na wakipokea kwa bahati mbaya wanakupa namba ya bibi shamba wao ambae naye ni changamoto kupokea simu na akipokea anakuelekeza kwa walewale wauzaji ambao wanasema hawauzi kwa ruzuku.

Hii inatupa wakati mgumu sana kwenye kulima, tunaomba serekali iangalie hili kwa umakini.
 
wako sawa kama hawalipwi hakuna namna zaidi ya kuuza keshi

mbolea hizi ni nzuri sana na wakula wamekuwa wakizipendekeza sana ila kuna viongozi kwa maslai yao wanaleta mbolea za kipumbavu pumbavu sokoni
 
Kabisa, kuna kitu hakipo sawa mahali mbolea zimekuwa adimu sana.
 
Ninazo mifuko 5 za Mbolea ya Yara otesha kama uta itaji mkuu

Nme hairisha kulima ivyo sina matumizi nazo nipo dodoma
 
Ninazo mifuko 5 za Mbolea ya Yara otesha kama uta itaji mkuu

Nme hairisha kulima ivyo sina matumizi nazo nipo dodoma
Uko wapi kama uko kanda ya pwani ni cheki dm namba yako
 
Back
Top Bottom