Mboga mPya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mboga mPya

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ameir Eshaq, Jan 13, 2011.

 1. Ameir Eshaq

  Ameir Eshaq Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  panya.jpg  iki andaliwa vyema kabisa special kwa mwaka mpya 2011....
   
 2. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,362
  Likes Received: 3,194
  Trophy Points: 280
  Kwa watu wa Lindi na Mtwara sio mboga mpya bali ni mboga ya kawaida toka zamani kama vile Wahaya wanavyokula panzi na kujifanya eti sio panzi bali ni senene.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,325
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  dedication kwa zomba[​IMG]
   
 4. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Chumvi kwa mbaliiiiiiiiii
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  na pilipili mbuzi kwa mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaali
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hii inafaa uwe umepiga bia za kutosha,vinginevyo hailiki!!
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hivi kumbe kweli
   
 8. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  lazima kuondoa nishai kwanza ikiwezekana valuuuuuuu za kutosha
   
 9. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,421
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Mboga bomba, nimewala sana utotoni wakati nachunga ng'ombe....mnawachimbua . koka moto...banika ...kulaaa.....shibeeee....home ugali hupandi!
   
 10. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Hawa ni paya wa porini? (Panya buku) yeah wanaliwa mboga tamu sana, chumvi pilipili kwa mbaliii.

  Sikonge anaijua hii mboga inaitwa "Masenge" kwa kilugha chake.
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mkuu naona sasa unataka kuleta dini kwenye mboga........
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  au Pwela kwa wale tunaotoka huku uwanda wa bonde la ufa. kwenye club za kimpumu huwakosi hawa hadi leo. ukionya huachi ni kama kuonya kiti moto, ukianza tu kuacha labda uambiwe ina sumu.
   
 13. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  tena uwe hujitambui wakulishe ndo unaweza kuja simuliwa baadae ukiwa sober
   
 14. czar

  czar JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh, sasa unaanza kumla wapi huyu jamaa nyuma au mbele? Unanikumbusha kijarida/kitabu cha hadithi 'Panga la Shaba'.
   
 15. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Zambia hawa kwa ugali wanapenda sana na DRC ukichinjwa nyani ujue umeheshimiwa sana.
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mbona mapaja yake mnayanunua sana shoprite mnadanganywa kuwa ni mapaja ya kuku kutoka Brazil?
   
 17. Ameir Eshaq

  Ameir Eshaq Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Assuming you have a knife, the best way to skin a rat is to cut horizontally across its back, about halfway up its body. You can then insert 2 fingers of each hand under the skin through the slit, and pull apart. The skin should come off fairly easily. You can then split the rat down the chest, and pull the guts out with your fingers. After you have done this, you can cut off any of the bits you really don't want to eat. And move on to cooking.
   
 18. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Niliishindwa mboga hii nilipokuwa nasoma Chidya boys Masasi,sio siri ukikaa ukafikiria ni ngumu kuila labda uwe na mazoea toka utotoni
   
 19. t

  terrero Member

  #19
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukitaka kuumla nafikiri unaanza kwenye mkiya sijawahi kula but wanaonekana watu kninoma
   
Loading...