Mbinu zipi sahihi za kumwomba mpenzi msamaha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu zipi sahihi za kumwomba mpenzi msamaha?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by demokrasia, Jul 27, 2011.

 1. d

  demokrasia Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mwanaume.Naomba kuuliza hivi ni mbinu zipi bora na sahihi za kumwomba mpenzi msamaha pale unapomkosea ili aweze kushawishika kusamehe? Wana JF naombeni mawazo yenu.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,390
  Likes Received: 28,191
  Trophy Points: 280
  Kweli njia ya chooni haioti majani!!
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180

  NN duh hapo ni kweli kila siku lazima waende huko
  Ila siku hizi ni self bana hakuna tena vile vyoo vya nje vya shimo
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Muombe samahani ukimaanisha tu inatosha!
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,643
  Likes Received: 2,559
  Trophy Points: 280
  Pindi ukijisikia hamu ya kubandua, unamuomba radhi huku ukimuomba na tunda akilegea tu unakula tunda hapo utakuwa umekata hasira zake zoteeeee ukimaliza umshukuru!!
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,666
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Inategemea aina ya kosa lakini zipo mbinu nyingi... Mtoe out..... mfanyie kitu ambacho hujamfanyia kwa siku nyingi kama kumnunulia zawadi nk. Zingatia pia ushauri wa JASON BOURNE hapo juu practically unawork sana! Mechi ikiisha "vyema" (kwa sare...hatakiwai mshindi hapa) basi na msamaha unakuwa umeombwa na kutoka hapo hapo!
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,334
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Kulia nako huwa kunasaidia,atakuonea huruma.
   
 8. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133

  Hahahahhahahahaaaaaaaaaaaaa!!
   
 9. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,862
  Likes Received: 6,354
  Trophy Points: 280
  "Mwanaume halii, anatoa machozi tu." - Wahenga
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Mentor hata hayo machozi ni ngumu kuyatoa balaa
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Moja ya advantage ya kumjua vizuri mpenzi wako.... ni kuweza jua jinsi ya kumkosha....

  kwamba hata ukimkosea ukiomba namna hii au ile ndio weakness yake, mwingine mpaka

  umpigie magoti, mwingine umnunulie gari, mwingine umaanishe tu msamaha e.t.c.
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Ashadii nimekumiss
  Kweli ukimjua mpenzi wako na ni wapi ambapo ana weakness unaweza kupata sehem ya kumuombea msamaha maana mwingine unawez akukuta maua pekee yanatosha kumuomba msamaha mwingine kumtoa out mwingine just ile kusema tuu am sorry inatosha
  So mjue mlpenzi wako na ni wapi ambapo unaweza kumpata kwenye kona ukamuomba msamaha
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,200
  Likes Received: 1,598
  Trophy Points: 280
  nadhani kumuambia tu waziwazi kuwa umetambua a, b,c sio sahihi na uahidi kujirekebisha na kumuomba support yako ili ubadilike, sio tu kwa ajili yake lakini pia kwa ajili yako binafsi. muhimu ni kubadilika kwa matendo.sio unaomba msamaha leo na kesho unafanya kilekile,kuna mijitu inatubu afu inakuwa kama imepata visa permit,lol!hapo hata umtoe dinner mara alfu inakuwa haina tija hata kama hatokuambia!
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,099
  Likes Received: 2,993
  Trophy Points: 280
  Mmmmh!How?
   
 15. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  inategemea ulimtongozaje mpaka aka kukubalia ....tumia mbinu hizo hizo ila tu usijilize...
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,334
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Inalipa hata ukitoa hayo machozi kitaeleweka.
   
 17. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mkuu..Jibu lako lipo kwenye lyrics za wimbo huo hapo chini wa Jimmy Cliff "Action speaks louder than words" Please jaribu kusikiliza maneno yake..

  [video=youtube_share;X4XM1Ot5414]http://youtu.be/X4XM1Ot5414[/video]

  Kumbuka msamaha wa kweli uko kwenye matendo yako ..You say it..n' You mean it!
   
 18. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mfanyie kitu ambacho unajua anakipenda umfurahishe ndio umuombe msamaha
   
 19. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,014
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  kuzama uvinza aka chumvini.
   
 20. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kulia tu mi kwangu kunanirahisishia kaz
   
Loading...