Gagalicious!!!!ukimjua utajua tu namna ya kuomba msamaha
Hahahaha!!! Lol usije ukafanya watu wakitaka kuombwa msamaha wadai magariMoja ya advantage ya kumjua vizuri mpenzi wako.... ni kuweza jua jinsi ya kumkosha....
kwamba hata ukimkosea ukiomba namna hii au ile ndio weakness yake, mwingine mpaka
umpigie magoti, mwingine umnunulie gari, mwingine umaanishe tu msamaha e.t.c.
Njia nzuri ya kuomba msamaha ni kupiga game nzuri tu! Nafikiri nimeeleweka.
<br />Mwanaume ni marufuku kumuomba mwanamke msamaha!
<br />Jamani ee,sio kila mwanamke ni wa kumtolea machozi!Jst b convincn n creatve,sio ulie eti!Wanawake wengi hawajui wanataka nini exactly,ukiwa mtu wa surprise,utakubaliwa msamaha tu.
<br />Mwanaume ni marufuku kumuomba mwanamke msamaha!
hapo patamu kama kulia ndio njia siaminikulia tu mi kwangu kunanirahisishia kaz