Mbinu za kuweka appointment

Mbinu za kuweka appointment

Duuuh

Wanaume tumepungukiwa kila kitu

Ilianza

Nguvu za kiume
Saizi

Tumeishiwa

Mbinu za kutongoza

Kesho tutaishiwa cha kiwaza

Kesho kitwa

Tutaishiwa .......
 
Cubic boy,

Fanya hivi...

1. Mtext / mcall kila Mara kuonesha unamjali.

2. Mwambie pasaka nahitaji nikutoe " Friend outing "

3. Make sure mnameet a sehemu nzuri but simple mfano kama ( mideterano hotel & beach resort, maeneo ya kawe DSM ) ( kijiji beach resort )

4. Ukiwa naye kuwa mcheshi ongea point na utani kidogo, muoneshe kumjali pia zungumza naye mambo ya muhimu,

5. Then next time meet tena na fanya yakoooo.....

NB: kama wewe ni mjanja unaweza kutekeza fedha zako in one out, lakini ukaishambulia papuchi yake vilivyo siku hiyo hiyo.... ila kwa ww learner fuata ushauri wangu.

[emoji4] [emoji106]
 
Mwanzoni umeanza vizuri ila mwisho ukaharibu. Kwani amekuambia nia yake ni kula uroda na kukimbia?

Ungemshauri afanye nae mawasiliano mara kwa mara na kuomba kuonana nae pale anapopata nafasi kuzungumza mawili matatu na akiona muda sasa wafaa kumwambia yaliyomo moyoni mwake basi afanye hivyo.
 
Nlivosoma huu Uzi kwa akili ya kawaida lazma uonekane fala coz namba umeomba na ukapewa kiroho safi. Ikanibidi nifikilie deeper yaan another point of view nkaona baada ya kupewa namba next move unajua cha kufanya kufanikisha iyo appointment Ila hutaki Huyo dem alete ubize au migomo.

Angalizo; kama nmefikilia mulemule ntakuambia cha kufanya lakn Mimi cio fundi sana bt nachofanya ni kutengeneza mazingira ya kukubaliwa zen ndo natangaza nia bt kama nkiona bad weather citangazi nia hapo ni kustop kilakitu kabla cijapigwa chini
 
uko sahihi mkuu
 
Sasa mpk kakupa no huoni kazi yako imepunguzwa mpka 50%...anza kuwa na mawasiliano nae ya kila siku
Mkuu yaelekea anataka umpe darasa la dialogue yote itavokua neno kwa neno mpaka apewe appointment, yaani kama vile 'mwambie hivi atakujibu vile, mwabie tena neno hili halafu yeye atacheka......' vijana wa siku hizi aibu sana aisee
 
Back
Top Bottom