Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,255
- 93,780
Alafu ninazawadi yako , if you are brave enough njoo uichukue ,i hope you are going to like it !! [emoji1][emoji28]Daah,[emoji23][emoji23]
Alafu ninazawadi yako , if you are brave enough njoo uichukue ,i hope you are going to like it !! [emoji1][emoji28]Daah,[emoji23][emoji23]
[emoji12] hiyo njia akiitumia atafanikiwa mkuu.mamaqe walai we kweli da lu nimecheka ile mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwambie kesho unamkaribisha kanisani kwenu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] ashindwe yy tu..kma atashindwa itabid atumie ile 3.14
Mkuu hadi atakachokijibu unakijua uko vizuriMtext hiviiii
* Hey ( weka jina lake ) asante kwa ukarimu na roho yako yautu na ukarimu na kwakunipa namba yako*
Atakujibu * Ooohhh usijali asante ,karibu tu*
Unamtext hii, * Nataman ( siku unayotaka mkutane) tukapate chakula chajion naww maana nimegundua kuna mambo mengi sana ya kustahajabisha juu yako nayotaka niyajue tena itapendeza uvalie zawadi nitakayokupa kesho*
Hapo amesikia zawadi ? Kasikia chakula? Kaskia mambo ya kustajabisha juu yake ?? Hivu vyote vitabaki vinazunguka kichwan mwake siku nzima .
Kwaiyo naww nhiyo kesho ,unamnunulia chupi moja na sidiria . Iyo kesho unampa . ..... Amin iyo siku mtakaotoka Out ,labda ushindwenkumla ww tu .
N.B ..awe nimwanamke mtu mzm ,yaan above 24 ,,,, asipokubali basi Putin sio rais
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23] kuna vitu vinachekesha
Me nimemshauri vyema tu ila nikamwambia kama atanogewa anaweza omba game siku hiyo hiyo. [emoji4] [emoji1]Mwanzoni umeanza vizuri ila mwisho ukaharibu. Kwani amekuambia nia yake ni kula uroda na kukimbia?
Ungemshauri afanye nae mawasiliano mara kwa mara na kuomba kuonana nae pale anapopata nafasi kuzungumza mawili matatu na akiona muda sasa wafaa kumwambia yaliyomo moyoni mwake basi afanye hivyo.

Mpange fasta huyoHaha ningekua ni mimi ningemwambia "usipojipanga ntakupanga"