Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,727
Ok dah ningedhalilika hapaUsiitume haipo swa mkuu.
Sahihi.
How I wish is to hold you even for a second.
Ok dah ningedhalilika hapaUsiitume haipo swa mkuu.
Sahihi.
How I wish is to hold you even for a second.
Haipo sawa.Don't love no body. Iko sawa hii?
Ipo sawa mkuu.Would you mind a cup of tea?iko sawa hii?
thanks ladies and gentleman for invited me in this meeting because if u were not wrote to me . My wife when coming at night may asking me you are going there without invention so if you may refuse to going there you will got my Papuchi right now........
hahaha tuTafika tu
Ipo sawa.Most of them
Mkuu unaitaji nini hapo?Fuatilia hii convo kati yangu na mshikaji mmoja:-
Mshikaji: una cheo gani kazini kwako?
Me: Relationship Officer
Mshikaji: kumbe ndio maana una michepuko
Me: michepuko? What do u understand by the term relationship?
Mshikaj: my understand based on my explanation was giving you
Huyimm, ni ofisa wa serikali, msomi wa level ya shahada.
Hii aliniuliza mwanangu, hadi leo sijampa jibuBaba mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa?....
Nirekebishie hii kwa kimombo mkuu
Baba mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa?....
Nirekebishie hii kwa kimombo mkuu
Thanks.............I liked your post.....
Hilo tatizo wanalo watu wengi.Sijui kwann huwa sijiamin kuongea hii lugha aiseee, mleta mada nifanyeje niwe jasir maana huwa nahisi km nakosea
Nitajaribu kiongozi, asanteHilo tatizo wanalo watu wengi.
Fanya mazoezi ya kuzungumza mara kwa mara bila kuogopa kukosea. Ikitokea mtu kakuambia umekosea, mwambie akusahihishe.
Pia, soma sana vitabu na magazeti ya Kiingereza ili uongeze misamiati na ikiwezakana soma Phonology ili ujue namna msamiati husika unavyo tamkwa. Mfano Education watu wengi hukosea namna linavyotamka, wengi utamka /ɛduˈkeʃən/ badala ya /ɛdjuːˈkeɪʃən/
Kumbuka "Practice makes perfect"
He had disappeared.He has disappered