CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #161
Ni hatari sana. Jamaa anamaana "Kazi kweli kweli"Mungu wangu!
Ni hatari sana. Jamaa anamaana "Kazi kweli kweli"Mungu wangu!
James always "Plays" football??James always plays football.
Why is it wrongJames always "Plays" football??
Wrong.
big nooooMost of the people, nipo sawa
You are wrong!James always "Plays" football??
Wrong.
You are wrong!Because of tense error.....if you choose to use the word "always" then you are not allowed to repeat the same meaning by adding "s" or "es" on a verb........simply, decide to write james plays football or james always play football.......umenipata????
Don't be confused easily!!!!!!!!Yaa nilijua sababu James no mmoja so verb naiadd s na vilelive always in kiashiria 2 hakiusiani na verb
Yupo sawa!big noooo
Hapo broken inaanzia katika matumizi ya alama za uandishi. Pia, mzungumzaji anachanganya matumizi ya vitenzi (verbs).
Mbinu.
Mzungumzaji anapaswa kufahamu vizuri alama za uandishi ikiwa ni pamoja na matumizi ya herufi kubwa mwanzoni mwa kila sentensi kwani pronoun "i" ilipaswa kuanzwa kwa herufi kubwa.
Pia, mzungumzaji anapaswa kufahamu vizuri aina zote za tensi na matumizi ya vitenzi (verbs) katika nyakati husika.
"is" huwa haitokei baada ya kitenzi kikuu na ikitokea kitenzi kikuu kimekuja baada ya "is" ING uongezwa katika kitenzi kikuu husika.
Kwakumalizia, mzungumzaji anapaswa kufahamu kuwa "is" hutumika kwa nafsi ya tatu umoja nasio katika pronoun" I". "I" hutumika na "am".
Mkuu mambo ya phonology hayo.
Hapa hauna ujanja unapaswa kujifunza namna ya kuandika sauti.
Phonological transcription kwa jina Juma ni.
Juma /dʒu ːmə/
Hapana sikuelewa swali lako!Sikuelewi aisee.....du hiyo sentensi ni grammatical error ww unasshihisha phonological error au mm mgeni?
Don't love any bodyDon't love no body. Iko sawa hii?
Tuck inNasubiri jibu. Ingawa mi natumia (Take in)
Put on ni vaaput on your shirt
I am living...-Am living in the vacuum
-am enjoying the fresh air from this vacum....naomba nikosolewe hapo wadau