Mbinu za kutozungumza broken English

Mbinu za kutozungumza broken English

Mkuu hapo broken imesababisha na athari ya lugha mama. Yaani mzungumzaji anataka kuandika au kuzungumza Kiingereza kwa kuzingatia syntax na semantics ya lugha mama (lugha ya kwanza).

Mbinu.
Katika tatizo hilo, mzungumzaji anapaswa kufahamu vizuri syntax (The sentence structure) na semantics (The meaning of a morpheme, word, phrase, clause and sentense)
hujasaidia
 
kama MTU ana apps mzuri ya kujifunza kiingereza ni vizuri ukaweka

if someone have good apps that help to learned English language it's better to give us

mkuu vp iko sawa au nahitaji marekebisho
Hapa naona hata app haitakusaidia tafuta dose ama sindano.
 
Back
Top Bottom