Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,819
Call me Juma.....???Niitie juma !
Unaisemaje kwa kimombo
Call me Juma.....???Niitie juma !
Unaisemaje kwa kimombo
Call Juma for me pleaseNiitie juma !
Unaisemaje kwa kimombo
Put your shirt inKuchomekea shati ni nini kwa kiingereza?
Tuck in your shirtPut your shirt in
Ahsante!Nimepata jibu, ni tuck in your shirt
m.youtube.com/watch?feature=youtu.be&v=7BOQsBk3bW8
Jambo muhimu katika kuelewa lugha ya jamii flani ni kuuelewa kwanza utamaduni wa jamii husika,hivyo ni kusema si kila neno ama sentensi ya Kiswahili itakuwa na tafsiri yake ya Kiingereza cha moja kwa moja...kwa mfano kwa Jamii za Ulaya,China na Marekani ambazo familia huzaa watoto 1 au 2 hutarajii swali hilo liwepo katika mazungumzo yao
Lakini mi sikutaka kujua kua mtoto huyu anaemuuliza swali baba yeke ni mzungu au mchina,....Jambo muhimu katika kuelewa lugha ya jamii flani ni kuuelewa kwanza utamaduni wa jamii husika,hivyo ni kusema si kila neno ama sentensi ya Kiswahili itakuwa na tafsiri yake ya Kiingereza cha moja kwa moja...kwa mfano kwa Jamii za Ulaya,China na Marekani ambazo familia huzaa watoto 1 au 2 hutarajii swali hilo liwepo katika mazungumzo yao
Tatizo wewe ndio unataka kutafsiri word to word and not meaning ya sentensi ndio maana utaona kua kuna sentensi hazina tafsiri...Ukijifunza lugha ya kigeni, unajifunza pia utamaduni wa nchi zinazotumia hiyo lugha moja kwa moja.
Lakini jibu sahihi ni kuwa kama lugha zimetoka katika mizizi tofauti, ni vigumu kupata tafsiri halisi.
Ndiyo maana hili swali la " nimezaliwa wa ngapi" linaulizwa sana.
Jaribu kutafsiri kwa Kiswahili utaona jinsi utakavyohangaika:
1. He's down to earth.
2. That dude's a creep.
3. He pleaded the fifth.
Hata Kiswahili hiki ni vigumu kutafsiri kama hujui utamaduni wa nchi vizuri.
1. Acha kunizingua, nitakuwasha!
2. Demu anajiona sana, kumbe si lolote.
3. Jamaa anapenda sana kujirusha na machangudoa wa uswazi.
Baba mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa?....
Nirekebishie hii kwa kimombo mkuu
"Baba mim ni mtoto wa ngap kuzaliwa?" in english please.
Tatizo wewe ndio unataka kutafsiri word to word and not meaning ya sentensi ndio maana utaona kua kuna sentensi hazina tafsiri...
Tatizo letu wabongo tunataka word to word... Ndio maana broken inaingia kirahisi ktk mazungumzo yetu.
".. Baba mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa? ".... Sentensi hii ukitaka kuitafsiri word to word tutakesha hapa lakini ukitafsiri mantiki ya sentensi naamini jibu litapatikana,
Hii inaenda sawa kwenye baadhi ya sentensi ulizozitolea mifano hapo juu, wewe unaziona hazitafsiriki ktk lugha nyingine kwakua unataka neno kwa neno, otherwise zina tafsirika sana tu, tena zoote hapo.
Word, kudos!Ukijifunza lugha ya kigeni, unajifunza pia utamaduni wa nchi zinazotumia hiyo lugha moja kwa moja.
Lakini jibu sahihi ni kuwa kama lugha zimetoka katika mizizi tofauti, ni vigumu kupata tafsiri halisi.
Ndiyo maana hili swali la " nimezaliwa wa ngapi" linaulizwa sana.
Jaribu kutafsiri kwa Kiswahili utaona jinsi utakavyohangaika:
1. He's down to earth.
2. That dude's a creep.
3. He pleaded the fifth.
Hata Kiswahili hiki ni vigumu kutafsiri kama hujui utamaduni wa nchi vizuri.
1. Acha kunizingua, nitakuwasha!
2. Demu anajiona sana, kumbe si lolote.
3. Jamaa anapenda sana kujirusha na machangudoa wa uswazi.
Dah,labda Ungeweza kusema: "Dady,what number am I in the family" , lakini bado nasisitiza kuwa hili ni swali la utamaduni wa kiswahili ambako si ajabu kukuta familia ina watoto 10 hadi 15 na hata kuchanganya usijue yupi alizaliwa baada ya yupi.Lakini mi sikutaka kujua kua mtoto huyu anaemuuliza swali baba yeke ni mzungu au mchina,....
Ninachotaka ni wewe kunitafsiria hayo maneno kwa kingereza, kwani ukiwa mkalimani wa lugha flani, utakuwa unawambia watu kua hilo alilo liongea flani halipo ktk tamaduni zetu?
Tu assume kua kuna mtu hafaham kiswahili lakini kasikia huyo mtoto anauliza swali hilo na yeye anaomba umfahamishe ktk lugha yake(English) kua huyo dogo anasemaje, huto mfahamisha? Au utamwambia anauliza kitu ambacho si tamaduni zenu?