Mbinu za kutozungumza broken English

Mbinu za kutozungumza broken English

Arafu where you are? Ina tatizo gani?
Functionally iyo sentensi ni Declarative sentences (statements that provide some kind of information) kama itaondolewa alama ya kuuliza na kuweka full stop. Mfano, Where you are. Kama itakuwa hivyo itakuwa sahihi.

Sasa kilichoiharibu iyo sentence ni question mark "?" ambayo imesababisha sentensi kutotambulika kama ni declarative au interrogative sentence (Swali)

Hivyo, kwa muktadha huo sentence itakuwa ni broken sentence sababu haitambuliki ipo katika aina ipi kati ya hizo.
 
Asante mkuu. That's what I wanted people to know.
 
kama MTU ana apps mzuri ya kujifunza kiingereza ni vizuri ukaweka

if someone have good apps that help to learned English language it's better to give us

mkuu vp iko sawa au nahitaji marekebisho
 
Back
Top Bottom