Mbinu za kupata msaada wa kazi

Mbinu za kupata msaada wa kazi

Ahsante. Swali jingine how do I present what I want without receiving the word NO . Mfano yeye ni mtu mkubwa BOT na mm nimesoma maswala ya biashara how do I get him to give me a job there?

Mkifikia level ya kuwa hawezi kulala bila kuongea na wewe he will do it definitely.
 
Magnumpi, Duuh...! Kweli alisema tutaishi kama mashetani. Masikini,sio jambo la kuchekelea kwa kweli. Huyu sister simlaumu. Naulaumu mfumo wa nchi kutufikisha huku. Mtu unapoteza utu wako,halafu watu wanachekelea kununua mindege?. Watu wanazidi kuwa masikini wanapoteza utu wao. Huyu ni mmoja wa walioweka wazi,wapo wanaliwa kimya kimya ni 80%,kati yao wapo wanaoliwa na kazi hapati. Jamani viongozi wetu hebu ingieni plan B,okoa hiki kizazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magnumpi,
hawa ndio wanao soma handout kwa ajili ya kujibu mtihani dada yangu elimu yako aijakusaidia hivi unazani hii ni platform ya kijinga wewe auwezi kusaidika kamwe poor you...
 
Mradi si ndiyo huu.
daaaa umeosmea course gani maelezo yako ayajakamilika wewe binti mdangajii,ila anachokisema ni kweli nilishia wahi kumuona binti mmoja anadanga bar moja maarufu tabata pale nilikuwa na rafiki zangu kuja kumuhoji ni graduate na ana GPA nzuri tuu kiukweli niliumia sana.....
 
daaaa umeosmea course gani maelezo yako ayajakamilika wewe binti mdangajii,ila anachokisema ni kweli nilishia wahi kumuona binti mmoja anadanga bar moja maarufu tabata pale nilikuwa na rafiki zangu kuja kumuhoji ni graduate na ana GPA nzuri tuu kiukweli niliumia sana.....
Rais wa wanyonge amezalisha ajira nyingi mno kwa vijana
 
Kama unatoa ndogo niambie nikuunganishe na kazi ofisi kubwa sana hapa nchini ukianza tu unapewa mkopo wa kununua Rav 4 na kupanga apartment Upanga
 
Mtoa mada kwa asilimia [emoji817] ni Dume au beberu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama kudanga ni passion yako, nakuunga mkono. Tunashauriwa tufanye kile tumakipenda. Huwezi jua labda utakuwa well motivated upate mafanikio Kama wadangaji maarufu hapa TZ.

Lakini Kama una passion nyingine tuseme unapenda biashara Kama career then why don’t you invest in acquiring necessary skills zitakazokufanya usonge mbele kwenye kazi yako.

Unaweza lalamika vyuma vimekaza kumbe namna yako ya kutatua hizi changamoto ndio ipo hoyo.

Na mwisho kabisa, hakunaga mafanikio ya overnight. Kila kitu kinahitaji muda. Vuta subira na fanya kazi.


All you need is love
 
Ahsante. Swali jingine how do I present what I want without receiving the word NO . Mfano yeye ni mtu mkubwa BOT na mm nimesoma maswala ya biashara how do I get him to give me a job there?
hapo pagumu ndugu yangu kuna aproach nyingi unaweza kwenda kwenye taaasisi hizo kwa kuomba kujitolea jiamini you just go jieleze sio watu wote ni mashetani God will make a way
 
Ulipoteza muda sana ktk kusoma na mtaji ulikuwa nao toka mwanzo unatembea nao tu icho ndo nachokulaum nacho
 
Hapo unataka kukurupuka kujiuza, wanaokutana na vigogo na kuwa na connections nao ni kulingana na shughuli anazofanya, mazingira anayo hangout, vile unajiweka, unaeza ukakutana na mtu akakupa support bila kuwaza kukufanya ila kama umeshatanguliza kutoa uchi akuna shida kila heri
 
Back
Top Bottom