Mbinu za kumteka dada wa kazi

Mbinu za kumteka dada wa kazi

Nawaheshimu sana DADA wa KAZI.

DADA wa KAZI wamechangia kwa kiasi kikubwa kutukuza sie kina HARUFU.

Mara nyingi WAZAZI wasipokuwepo Nyumbani, kina DADA wa KAZI ndio waliokuwa wakishika USUKANI.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo DADA wa KAZI ni sehemu ya FAMILIA.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo CHAKULA kitapokuwa tayari, wote tunajumuika kwa pamoja na DADA wa KAZI, na sio DADA wa KAZI atengwe ale peke yake JIKONI.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo mnapokwenda MTOKO wowote ule, iwe MTOKO wa KIFAMILIA, au iwe MTOKO wa kwenda PWANI kupunga UPEPO, basi ujue hapo DADA wa KAZI tunatoka wote. Sio nyie mnatoka, DADA wa KAZI anabaki Nyumbani.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo DADA wa KAZI akitoa AMRI basi shurti itekelezwe, na AMRI hiyo isipotekelezwa (ukileta UKAIDI) kinachofuata WAZAZI wafahamishwe, na WAZAZI wakishafahamishwa ujue hapo wewe ambae hukutii shurti ADHABU itakuhusu.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo DADA wa KAZI ni DAMU yetu bila ya kujali IMANI yake ya KIDINI, Siku ya JUMAPILI ikifika atakumbushwa au kuamshwa ili awahi kwenda KANISANI.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo DADA wa KAZI ana uhuru wa kuisoma BIBLIA yake (bila kubugudhiwa) muda wowote anaoutaka pamoja ya kuwa yeye DADA wa KAZI ni IMANI tofauti na SISI.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo DADA wa KAZI ana uhuru wa kufanya SALA ya CHAKULA muda wa kupata CHAKULA ukifika.

Kuna DADA wa KAZI alikuja kutolewa POSA Nyumbani kwetu.

Bila ya nyie kina DADA wa KAZI mie HARUFU si lolote, si chochote.

Kina DADA wa KAZI Mbarikiwe sana
 
Hii umetokea kwenu tuu,huku kwingine sidhani kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah hizi mbinu hizi aisee....ila ndio mbinu kali kwa yeyote sio beki tatu tu....
Beki tatu ni mke wa mtu mtarajiwa ujue, acheni masikhara, halafu kuna moi kaniuliza, ukiwa unaingiza kwa mwezi kama m.15 hivi, sista duu anayelipwa take home ya laki sita mpaka saba hivi, si anakuwa kama beki tatu wako? [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]. Povu ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa. Nilinuna hasa ujue.

Kwani siku zote adui anaombewa njaa. 😂😂😂
Hahahahaaa Hajar mziki ndio kama huo tena itabidi uvumilie tu maumivu maana huyo ni Kagere anaetupia kwa sasa bado zamu ya Okwi na pacha wake Boko Adebayo😀😀😀
 
Hii umetokea kwenu tuu,huku kwingine sidhani kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea jinsi wahusika wanavyowachukulia DADA wa KAZI.

Nafikiri itakuwa haujawahi kusikia au kuona.

Zipo FAMILIA nyingi sana ambazo wewe huzifahamu FAMILIA hizo ambazo zinazowajali DADA wa KAZI.

Na hapa sizungumzii DADA wa KAZI mmoja.

Kwasababu Nyumbani kwetu wamepita DADA wa KAZI zaidi ya mmoja.

Na Asilimia kubwa ya WADADA wa KAZI Nyumbani kwetu huwezi kuamini, IMANI yao ya KIDINI ni tofauti na sisi, lakini haikutuwekea MATABAKA yoyote.

Huwa nashangaa sana hapa JF ninavyoona kuna MATABAKA ya KIIMANI kiasi kwamba nashindwa kuelewa hawa wanaJF ni watu wa aina gani!

Huwezi kuamini kuna kina DADA wa KAZI mpaka wanaanza KAZI wanakuwa si wapishi wazuri, lakini huwezi kuamini MAZA anawafundisha kupika mpaka wanakuja kuwa WAPISHI wazuri sana.

Kinachokufanya wewe uone ni jambo la ajabu ni kwasababu mnawatenga, mnawachukulia kina DADA wa KAZI si sehemu ya FAMILIA.

Kina DADA wa KAZI mkienda nao sawa ni tofauti sana na jinsi mnavyowachukulia.

Nawaheshimu sana kina DADA wa KAZI
 
Huwa nashangaa sana hapa JF ninavyoona kuna MATABAKA ya KIIMANI kiasi kwamba nashindwa kuelewa hawa wanaJF ni watu wa aina gani!
Jambo linakera sana hili na kuna watu humu hupenda sana kuleta nyuzi za kichochezi za kidini ambazo hazisaidii kuleta umoja na utangamano miongoni mwa wana JF bali mifarakano na chuki za kiimani. Natamani tuachane na upuuzi huo
 
Nawaheshimu sana DADA wa KAZI.

DADA wa KAZI wamechangia kwa kiasi kikubwa kutukuza sie kina HARUFU.

Mara nyingi WAZAZI wasipokuwepo Nyumbani, kina DADA wa KAZI ndio waliokuwa wakishika USUKANI.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo DADA wa KAZI ni sehemu ya FAMILIA.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo CHAKULA kitapokuwa tayari, wote tunajumuika kwa pamoja na DADA wa KAZI, na sio DADA wa KAZI atengwe ale peke yake JIKONI.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo mnapokwenda MTOKO wowote ule, iwe MTOKO wa KIFAMILIA, au iwe MTOKO wa kwenda PWANI kupunga UPEPO, basi ujue hapo DADA wa KAZI tunatoka wote. Sio nyie mnatoka, DADA wa KAZI anabaki Nyumbani.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo DADA wa KAZI akitoa AMRI basi shurti itekelezwe, na AMRI hiyo isipotekelezwa (ukileta UKAIDI) kinachofuata WAZAZI wafahamishwe, na WAZAZI wakishafahamishwa ujue hapo wewe ambae hukutii shurti ADHABU itakuhusu.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo DADA wa KAZI ni DAMU yetu bila ya kujali IMANI yake ya KIDINI, Siku ya JUMAPILI ikifika atakumbushwa au kuamshwa ili awahi kwenda KANISANI.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo DADA wa KAZI ana uhuru wa kuisoma BIBLIA yake (bila kubugudhiwa) muda wowote anaoutaka pamoja ya kuwa yeye DADA wa KAZI ni IMANI tofauti na SISI.

Tumekuzwa kwenye Mazingira ambayo DADA wa KAZI ana uhuru wa kufanya SALA ya CHAKULA muda wa kupata CHAKULA ukifika.

Kuna DADA wa KAZI alikuja kutolewa POSA Nyumbani kwetu.

Bila ya nyie kina DADA wa KAZI mie HARUFU si lolote, si chochote.

Kina DADA wa KAZI Mbarikiwe sana

I second your positive contribution Harufu. May God bless your parents for planting good manner in you!
 
Back
Top Bottom