Mbinu za Kumnasa msaliti

Uzoefu ni kwamba hatakuangalia usoni hasa hiyo siku ambayo ametoka huko kucheat. Lakini sio kucheat tu hata kama kuna kitu chochote amefanya kisiri wewe usijue.

Unachotakiwa kufanya wahi nyumbani kabla ya yeye kufika, akifika tu mpokee vizuri huku ukiwa unamtazama machoni muda wote huku ukimuongelesha lolote ili akujibu. ukweli ni kwamba kama kuna kitu amefanya siku hiyo hataweza kukuangalia machoni, atakuwa na kigugumizi cha kuongea na atatafuta mbinu zotezote zile ili aondoke haraka hapo akimbilie chumbani. ukiona signs za namna hiyo mkuu ujue kuna jambo.
 
Duh aisee nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom