Mbinu Za CCM kuongeza mafuriko mikutanoni (sample ya barua)

Mbinu Za CCM kuongeza mafuriko mikutanoni (sample ya barua)

Kama umeshindwa kusoma, basi umeandikiwa.
 
duh kama kawaida yao kusomba watu ila mwaka huu cha moto watakiona.ukawa wamejipanga
 
Hakika wameumbuka ndiyo maana wanachukuwa hata wanafunzi kuwavalisha kanga na sare angalau

waonekane wana watu wengi

Mh! Ninyi watu cha ajabu ni nini! Hata sherehe za b/day tunaalikana na wasio na usafiri mwandaaji anasaidia. Tuongea 'issues' siyo watu au matukio kama kweli tunahitaji kuelimishana ili tutumie kura zetu vizuri (informed decisions).
 
Na by any means, thamani ya damu ya watanzania wenzetu hao wawili waliokufa kwenye mkutano wa kampeni za CCM Morogoro ina thamani mara trillions kuliko Magufuli kuwa Rais wa nchi hii!!

Kwa nchi zinazojali utu na thamani ya uhai wa mtu, Magufuli angesha step out of the context kwa sbb kwa vyovyote, hii ni ishara ya nuksi kwake na kuwa tutakuwa na Rais wa hovyo tu huko mbeleni kama huyu jamaa atachaguliwa, Mungu apishie mbali isitokee!!
 
Tatizo ni nini hapo?

Tatizo kuwabeba watu na kuwaleta uwanjani kutoka sehemu mbali mbali za mkoa husika na mikoa jirani kusababisha maafa. Mkiona mkutano wa ukawa una watu wengi na nyie mnaenda kusomba kwa mafuso na matokeo yake mnasababisha maafa
 
Pole yao twende kwa usafiri wetu kwa Lowassa huko hakuna nukusi watu wanakuja wenyewe na wanarudi salama majumbani kwao
 
mbona yasomeka hizo picha watumia simu au

Hebu fanya kautafiti kidogo kwamba kati ya watu 100 wanaoperuz hapa JF ni wangapi wanatumia pc na wangapi wanatumia sim.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom