Democracy999
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 945
- 190
Mamma yangu; kumbe Tabora bado wamechelewa? Eti ccm?
Mbona kuhusu ile clip ya EL hamuulizi hili swali?Sheria ya mpya ya makosa ya mtandao inasemaje kuhusu ishu kama hii? Hii kama ni official document na imeletwa humu bila ridhaa ya taasisi husika nadhan mleta uzi tcra wanakuhusu...!!!
Tatizo ni nini hapo?
RIP poor tanzanians, by the way ...shukuru Mungu hili tukio la kuuwa bila kukusudia lingekuwa ukawa leo hii wangekuwa lock up, kesho mahakamani hakuna dhamana mpaka uchaguzi upite. Sasa kwa kuwa ni chama kinachoshikilia kisu basi tena.
Mamma yangu; kumbe Tabora bado wamechelewa? Eti ccm?