Mbinu Za CCM kuongeza mafuriko mikutanoni (sample ya barua)

Mbinu Za CCM kuongeza mafuriko mikutanoni (sample ya barua)

Na by any means, thamani ya damu ya watanzania wenzetu hao wawili waliokufa kwenye mkutano wa kampeni za CCM Morogoro ina thamani mara trillions kuliko Magufuli kuwa Rais wa nchi hii!!

Kwa nchi zinazojali utu na thamani ya uhai wa mtu, Magufuli angesha step out of the context kwa sbb kwa vyovyote, hii ni ishara ya nuksi kwake na kuwa tutakuwa na Rais wa hovyo tu huko mbeleni kama huyu jamaa atachaguliwa, Mungu apishie mbali isitokee!!

RIP poor tanzanians, by the way ...shukuru Mungu hili tukio la kuuwa bila kukusudia lingekuwa ukawa leo hii wangekuwa lock up, kesho mahakamani hakuna dhamana mpaka uchaguzi upite. Sasa kwa kuwa ni chama kinachoshikilia kisu basi tena.
 
Binafsi sioni tatizo....hiyo ni barua ya kuwataka watendaji wa chama kufanya hamasa...na hamasa ni sehemu ya mafanikio.
 
Binafsi sioni tatizo....hiyo ni barua ya kuwataka watendaji wa chama kufanya hamasa...na hamasa ni sehemu ya mafanikio.

kweli hamna tatizo..ila usilazimishe mafuriko hata kama haiwezekani..
 
Hakika wameumbuka ndiyo maana wanachukuwa hata wanafunzi kuwavalisha kanga na sare angalau

waonekane wana watu wengi

Kuna kijana wa darasa la tano amekufa morogoro. Ivi kwenye kampeni alienda kufanya nini????? Kura hapigi, hana anachoweza kuelewa sera wala kupima uongo na ukweli. Sasa kafa.....Loading........
Ivi uwanja una milango 8 iweje ikafunguliwa 3. Hapo kwanini mtu hawajibiki kwa hivi vifo.
 
CCM kipo miaka yote na kimekuwa kikishiriki chaguzi mbalimbali na kimekuwa kikishinda

Wananchi wameshaichoka ccm. Mwaka huu jiandaeni kuwa wapinzani. Miaka 50 tumechoka tunataka chama kingine tuone nao watatufikisha wapi.
 
Sheria ya mpya ya makosa ya mtandao inasemaje kuhusu ishu kama hii? Hii kama ni official document na imeletwa humu bila ridhaa ya taasisi husika nadhan mleta uzi tcra wanakuhusu...!!!

peleka taarifa tcra maana mmezoea kuzusha ili mpate buku7 lumumba fc
 
Kuna kijana wa darasa la tano amekufa morogoro. Ivi kwenye kampeni alienda kufanya nini????? Kura hapigi, hana anachoweza kuelewa sera wala kupima uongo na ukweli. Sasa kafa.....Loading........
Ivi uwanja una milango 8 iweje ikafunguliwa 3. Hapo kwanini mtu hawajibiki kwa hivi vifo.

Kule kuna tamasha la muziki.watoto wakisikia Dimond au Ally kiba yuko lazima waje na onyesho ni bure.watoto wamejazana uwanjani wakiselebuka wakati wa kutoka milango ipo 8 eti waliofungua ni gate 3 akili gani hiyo kama si matope.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom