mbinu ya KUDHIBITI WA VYOMBO VY HABARI NCHINI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbinu ya KUDHIBITI WA VYOMBO VY HABARI NCHINI

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by commonmwananchi, Apr 17, 2011.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,180
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Hivi sasa tunaona rasmi udhibiti wa habari unaofanywa kwa makusudi na kutuonyesha habari zile zinazoibeba CCM na serikali yake
  *ALHAMISI TBC ILIZUIA KUTUONYESHA MASWALI YA PAPO KWA PAPO NA W/MKUU.BUNGENI DODOMA.
  *TUNAONYESHWA LIVE MIKUTANO NA MIJADALA YA CCM ILHALI YA WAPINZANI IKIACHWA MFANO JANA,CCM MANZESE--CDM TABORA..JE KUNANI???......
   
Loading...