Mbinu mpya za wanawake wa siku hizi wanaosaka ndoa kwa nguvu..Ni noma sana

Yamenikuta nimeterekeza nyumba ila nasikia na yeye ameamua kuja kupanga nyumba ya pili tu toka yetu kaaaazi kweli kweli Asante mtoa uzi
 
Cha ajabu utashangaa wanawake wa humu kushangaa hizo mbinu.

Mi namba 3 imeisha nitokea.
 
Haha. Mi nimwsha wajulia. Nina zile locker za chuma sokuizi anayeacha kitu ninaweka umo na ninafunga na kufuri. Kilichomo humo ni chupi kibao. Nimezipa hadi name tags ili nisiwe nazichanganya. Leo kama ni zam ya jesca bac nachukua chupi ake narudisha alipo kuwa ameiacha. Akiondoka tu narudisha. Sitaki ujinga kabisa. Hii tabia yao ilisha ni cost
 
Back
Top Bottom