Jinsi mwanamke anavyosaka ndoa

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,087
1,913
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja

anaifua

anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi

anaondoka...

Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa

usiku,asubuhi

anaianika nyuma ya mlango anaondoka...

Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza

anakwambia 'Hny nitunzie nimesahau hereni

zangu

mezani'

Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya

kubadilisha na viatu pea 2,anavua high heels

anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka

na

flat shoes kwenda chuo..

Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na

vitu

kadha wa kadha,na ole wako uvihamishe

alipoacha,kesi zinaanza...Hao ndo Wanawake

wa

kileo,akija na begi zima si utamuuliza Vipi

mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia

taratibu..

Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa

ina

perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa

hereni

na 'Foundation'... My Brother,huna haja ya

kuuliza,NDO KASHAHAMIA HUYO....Kifuatacho

utaambiwa,''Honey I miss my days',Zamani

nilijua

ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed

Calls,Siku

hizi kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu jua

imekula kwako,inawindwa ndoa...

I
 
Nimekumbuka mimi nliachaga dira nyuma ya mlango,lile dira lilikuwa halifuliwi halisogezwi mpaka ninarudi sasa nirudi nlikuta safi au halipo nlipoliweka ....ha ha ha ha utoto acha jamani shemeji zangu mpaka kesho wananitania lile dira vipi ila ndoa niliipata
 
Baila baila ndio kawaida yao akiweka juu ya mlango ataikuta katika kitunza uchafu
 
Nimekumbuka mimi nliachaga dira nyuma ya mlango,lile dira lilikuwa halifuliwi halisogezwi mpaka ninarudi sasa nirudi nlikuta safi au halipo nlipoliweka ....ha ha ha ha utoto aha jamani shemeji zangu mpaka kesho wananitania lile dira vipi ila ndoa niliipata
Hahahahah,hongera
 
unamwambia mama beba vitu vyako chumba sio changu
 
Nimekumbuka mimi nliachaga dira nyuma ya mlango,lile dira lilikuwa halifuliwi halisogezwi mpaka ninarudi sasa nirudi nlikuta safi au halipo nlipoliweka ....ha ha ha ha utoto acha jamani shemeji zangu mpaka kesho wananitania lile dira vipi ila ndoa niliipata
Ulikomaa kweli kweli. Mpk ikapatikana.
Kwa kweli uliandikiwaa...
 
Nimekumbuka mimi nliachaga dira nyuma ya mlango,lile dira lilikuwa halifuliwi halisogezwi mpaka ninarudi sasa nirudi nlikuta safi au halipo nlipoliweka ....ha ha ha ha utoto acha jamani shemeji zangu mpaka kesho wananitania lile dira vipi ila ndoa niliipata
aiseee,kumbe ndoa ngumu eheee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom