Mbinu mpya za wanawake wa siku hizi wanaosaka ndoa kwa nguvu..Ni noma sana

Sasa ukitafuta h.girl ndo umekwepa nn! Yatakuwa yaleyale, bora hata huyo aliejileta, hebu jiulize umerudi hom night halafu h.grl anapita pita na kikanga eti anaandaa chakula, anavimaziwa flan hivi! Simwachi asee Labda niwe nimekufa"
Noma sana mdau ma house g ni balaa zaidi
 
Dawa ni moja tu akiacha chupi yake,we ongeza nyingine 2 pale pale alipoacha za kwake,akiuliza hzo za nani?mwambie moja ya Jack nyingine ya Aisha, wote wamesahau kama yy alivyosahau
 
Mm demu akihamia ntafurahi sana!Papuchi guaranteed nani hapendi?
Ahamie hata leo aisee
 
Baba yangu mzazi aliniambia maneno mazuri Sana wakati ule nikiwa bachelor,"kamwe usije mpeleka msichana sehem unayoishi halafu ulale naye Kama huna intention ya kumuoa".
A wise man, your dad. A man after my own heart.
 
Back
Top Bottom